Muhimu sana kwa wana enrepreners chekini hiyo adia na ichangie kadri uwezavyo.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
WANA JF NI NAPENDEKEZO MOJA KWA WAJASIRIAMALI .
INTERDEPENDECE CLUBS OR GROUPS OF COMPANY

Nimejaribu Kupitia Thread Nyingi sana Kwenye Jukwaa la Biashara na kwa kweli ni nzuri sana kwa msatakabari wetu hapa Tanzania, So mimi napendekeza Vitu Vifuatazo.

  1. KWANZA NI VIGUMU SANA KWA SASA KUWA NA KITU KINACHO ITWA MASHAMBA YA KWA PAMOJA KAMA YALE YA ENZI ZILE ZA UJAMAA. TUNAWEZA ANZISHA MASHAMBA HAYO BUT NI VIGUMU KUYAENDESHA WATU WAKIWA WENGI MASARANI 30 HIVI NI VIGUMU MNO NA KITU AMBACHO KINAWEZA LETA MATATIZO KWA BAADAE.

  1. NINI TUFANYE?

a. KUANZISHA INTERDEPENDECE GROUPS OF COMPANY AMBAYO ITAKUWA NA MAJUKUMU YAFUATAYO

1. MFANO WA KAMPUNI HIZO NI HIZI
1. Utarii
2. IT
3. Consultancy
4. Agriculture/ katika nyanja mbalimbali
5. Ufugaji wa Kuku na Nyuki
6. Clearing and Forwarding
7. Hoteli/ Migahawa
8. Guest House
9. Usafirishaji wa Bidhaa na Abiria
10. Uuzaji wa Bidhaa kwa Ujumula
11. Constraction
12. Comnication
13. Educatiuon
14. Packaging
15. Export and Importation
16. Printing
- Nazingine nyingi sana ambazo sijazitzja.

Tukiwa kila mtu au watu wana Biashara/Kampuni zao zinazo fanya shuguri tofautitofaut tutaweza kutegemeana kwa vitu vifuatavyo.
NB: LAZIMA TUWE NA BIASHARA ZINAZO TAMBULIKA MEANS REGSTERD BUSINESS

1. Kampuni za IT zatatusaidia katika shughuli za zetu za ki IT so kazi zote shariti tuzipeleke kwa watu hao

2. Kilimo makampuni ya kilimo yatakavyo kuwa yanazarisha mazao yao memba wengine wanao fanya biashara za ununuaji wa mazao hayo shariti wanunue

3. Makampuni ya consultancy yatakuwa yanatusaidia kwenye kazi zetu mbalimbali za kiushauri, so kazi zote shariti tuwapelekee wao

4. Kampuni za Printing wao watakuwa wakiprint kazi zeu, so shariti tuwapelekee wao

5. Makampuni ya Clearing and Fowarding watapata kazi zetu za ku exprt na ku import bidhaa zetu

6. Makampuni ya Ujenzi yatapata kazi zetu pale tutakapo kuwa tunahitaji kujenga

7. Makampuni ya Packaging yatapata kazi zetu za kupark bidhaa zetu

8. Mahoteli, Migahawa na Guest yatakuwa yakipata kazi zetu pale wanamakampuni watakavyo kuwa wana safari basi watalala, kula kwenye migahawa na hoteli hizo

9. Makampuni ya Kuuza pembejeo za kilimo wao watakuwa wanapata kazi za kutuuzia pembejeo

10. Maduka ya Jumula na Rejareja mfano supermarket wao watakuwa wakinunua bidhaa za wazarishaji wengine

KWA KIFUPI MWENYE KAMPUNI ATAKUWA AKIWAUZIA WATU WA NJE BUT, MEMBARS SHARITI WANUNUE AU WATUMIE HUDUMA ZA MEMBERS, UNLESS KAMA MEMBERS ATAKUWA HANA HUDUMA HIYO INAYO HITAJIKA.

MFANO: MIMI KAMA NAHITAJI KUTENGENEZEWA WEBSITE KAMA MEMBAS WATAKUWA HAWAWEZI BUSI HAPO NITAKUWA HURU KUTAFUTA NJE YA MEMBARS

JAMANI HII ITATUSAIDIA KUJIKWAMUA KAMA MNAVYO FAHAMU USHINDANI ULIOPO, TUKIWA WADOGO HILI LITATUSAIDIA KU GROWA UP. WAHINDI WANATUMIA SANA MFUMO HUU

1. MUHINDI ANAWEZA TOKA ARUSHA HADI DAR KWENDA KUNUA KITU AMBACHO HATA ARUSHA KIPO BUT ATAAENDA KUNUNUA KWA MWENZAKE DAR.

- HAPA TUNAWEZA TENGENEZA SHERIA ZETU ZA KUTUONGOZA NA KUTENGENEZA NETWORK YETU WENYEWE NA TUTAKUWA TUKIKUTANA KWA MAONGEZI NA KUANGALIA NI NANI ANA MATATIZO NA KUCHANGIA MAWAZO YA NINI AFANYE

CHANGIENI PLS
 
Ni kweli kuwa na shamba la pamoja kwa maana ya umiliki wa pamoja ni vigumu,ila tunaweza kuwa na shamba la pamoja la mazao ya aina moja ktk eneo moja na kila mtu akamiliki sehemu yake. Mimi na wenzangu kadhaa tumefanya hivyo na tunafanya hivyo sasa na ugomvi hakuna. Tunachangia gharama za uendeshaji kwa uwiano.Kwa mfano tuna shamba la eka 545 linafanyiwa kazi sasa, tuna shamba eka 600 tayari limeendelezwa, kwa sasa tunapigana na hatua ya pili kupata hati zetu, hapa tunalenga kuwa na machineries za kufanyia kazi kama timu huko mbele.Ila ukisema tuchange fedha tununue shamba la pamoja ni ngumu,ila sisi wakulima kujikusanya kila mtu kwa nguvu zake alime eneo lake ili tubebane inawezekana kabisa. Tumefanya na inalipa.Kuna siku huwa tunakwenda kwa convoy kuangalia mashamba hadi raha. Matatizo yapo,na ndio changamoto zenyewe.

Kwa sasa tunaanza kijiji cha wafugaji mahali fulani,lengo kupata timu ya wafugaji bora kabisa na hatimaye tuweze kutoa mazao bora sokoni kama timu. Tatizo lililopo kwa vijana wengi ni kukosa uaminifu,kukosa ujasiri wa kivitendo na kuthubutu. Mtu anataka plan ianze saa mbili asubuhi na jioni awe mtaani anakula faida. Ni mengi ya kuchangia lakini kwa leo niishie hapa.
 
ni kweli kuwa na shamba la pamoja kwa maana ya umiliki wa pamoja ni vigumu,ila tunaweza kuwa na shamba la pamoja la mazao ya aina moja ktk eneo moja na kila mtu akamiliki sehemu yake. Mimi na wenzangu kadhaa tumefanya hivyo na tunafanya hivyo sasa na ugomvi hakuna. Tunachangia gharama za uendeshaji kwa uwiano.kwa mfano tuna shamba la eka 545 linafanyiwa kazi sasa, tuna shamba eka 600 tayari limeendelezwa, kwa sasa tunapigana na hatua ya pili kupata hati zetu, hapa tunalenga kuwa na machineries za kufanyia kazi kama timu huko mbele.ila ukisema tuchange fedha tununue shamba la pamoja ni ngumu,ila sisi wakulima kujikusanya kila mtu kwa nguvu zake alime eneo lake ili tubebane inawezekana kabisa. Tumefanya na inalipa.kuna siku huwa tunakwenda kwa convoy kuangalia mashamba hadi raha. Matatizo yapo,na ndio changamoto zenyewe.

Kwa sasa tunaanza kijiji cha wafugaji mahali fulani,lengo kupata timu ya wafugaji bora kabisa na hatimaye tuweze kutoa mazao bora sokoni kama timu. Tatizo lililopo kwa vijana wengi ni kukosa uaminifu,kukosa ujasiri wa kivitendo na kuthubutu. Mtu anataka plan ianze saa mbili asubuhi na jioni awe mtaani anakula faida. Ni mengi ya kuchangia lakini kwa leo niishie hapa.

hilo la mifugo itabidi nikutafute pls
 
safi sana hizo idea ni zilezile za nyerere ujamaa na kujitegemea?nabidi tuzidumishe maendeleo vijijini.
 
Ndio zenyewe, kinachofanyika ni modification kidogo tu ili kufanya mtu awajibike na awe na uhakika na jasho lake kwamba haliliwi wala kupotea bure, na mvivu anajua mapema kuwa hapa nikilala naachwa mapema kabisa na hakuna wa kumlaumu. Kwa hiyo unaona kwamba hata mvivu ataamka tu!!!!!!!!!.
 
Nimekubali sasa vijani tumekuwa kiakili sio tena tegemezi wa ajira.niwakati watu ss kujiajiri nasio kuajiliwa .mungu awepe nguvu zaidi.kumbuken kuweka mikataba kwa kila jambo
 
Ni wazo zuri mno, tukiliendeleza nalo hakika litatuendeleza.
Jf itakua kitovu cha maendeleo kwa vijana, jamii na nchi kwa ujumla.
Mfano kwa kuanzia, Mwaonaje tukiomba ardhi Rufiji?
 
NI wazo zuri, mfumo huu ni rahisi sana kufanikiwa kwenye SACCOS ambapo kwa sasa kuna hii idea ya kuanzisha JF SACCOS
 
Ni wazo zuri mno, tukiliendeleza nalo hakika litatuendeleza.
Jf itakua kitovu cha maendeleo kwa vijana, jamii na nchi kwa ujumla.
Mfano kwa kuanzia, Mwaonaje tukiomba ardhi Rufiji?
Asante,
Lakini nataka nikueleze, Rufiji hakuna ardhi kwa sasa iliyo salama, huko utanunua migogoro ndugu yangu. Kuna mapande makubwa sana ya ardhi iliyo mikononi mwa taasisi na watu binafsi. Na viongozi wa vijiji pia sio wakweli pia. Ardhi kubwa kwa sasa ni lazima kwenda pembezoni huko. Huko unajikatia pande lako bila kununua na unaliendeleza.

Hata hivyo kwa small scale tunaweza kupata ardhi.
 
Back
Top Bottom