Wewe ni Gwajima bhana! Hata maneno na matendo yako, yanathibitisha hilo! Vipi unaturuhusu waumini wako kuchanja, au tuendelee na msimamo wa kutochanja ili tusigeuke kuwa Mazombie hapo baadaye?Mimi sio Askofu Gwajima, mimi ni yule asiyeyumbishwa na akili maandazi.