buhange JF-Expert Member Joined Oct 23, 2011 Posts 505 Reaction score 110 Jul 9, 2012 #1 Samahani wadau, Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu
Samahani wadau, Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu
C chipalila1 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 259 Reaction score 32 Jul 10, 2012 #2 hawajatoa mkuu labda kama hkuona tangazo la 29 june. baada ya hapo m cja ona na hv punde nmetembelea site yao
hawajatoa mkuu labda kama hkuona tangazo la 29 june. baada ya hapo m cja ona na hv punde nmetembelea site yao
moto ya mbongo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 484 Reaction score 337 Jul 10, 2012 #3 kila siku tembelea utumishi sites sio tume ya ajira Public Service Management na PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
kila siku tembelea utumishi sites sio tume ya ajira Public Service Management na PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 343 Jul 10, 2012 #4 buhange said: Samahani wadau, Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu Click to expand... yaan huwez amini, nimesikia leo mchana kwa shost angu, tena ye kanambia 900
buhange said: Samahani wadau, Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu Click to expand... yaan huwez amini, nimesikia leo mchana kwa shost angu, tena ye kanambia 900
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 10, 2012 #5 Kilahunja said: yaan huwez amini, nimesikia leo mchana kwa shost angu, tena ye kanambia 900 Click to expand... tusubiri ugomvi.
Kilahunja said: yaan huwez amini, nimesikia leo mchana kwa shost angu, tena ye kanambia 900 Click to expand... tusubiri ugomvi.