MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 29
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,nimemaliza degree yangu ya kwanza!!ktk chuo kikuu cha DSM(UDSM)..malengo yangu ni kuendelea kusoma MASTERS ya project planning and management ambayo ada yake ni tsh milioni 8..kutokana na majukumu aliyokuwa nayo mlezi wangu najua hawezi tena kunilipia hiyo ada maana ana mzigo mkubwa wa majukumu.
Ila nilibahatika kuweka mil 4 ili ije kunisaidia pamoja na ivo nilinunua kiwanja kipindi nipo 2nd year ili kije kunisaidia baadae,kutokana na majukumu ambayo yapo mbele yangu itabidi nikiuze hiko kiwanja...ili nipate pesa ya kusoma iyo M.A....
Jamani watanzania wenzangu kiwanja hiki kipo visiga madafu na nakiuza kwa 4mil na kina ukubwa wa ekari 1.....kipo km 2 toka barabara ya morogoro!!kama utakihitaji kukiona...ni pm...asante kwa kusoma hii post!!