MUHIMU: Simu nyingi kuishiwa chaji jioni ya VALENTINE'S DAY

MUHIMU: Simu nyingi kuishiwa chaji jioni ya VALENTINE'S DAY

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
wana JF si vibaya kuwajuza kwamba mawasiliano ya simu yatakuwa mabaya sana jioni ya Valentine's Day (au REVELATION DAY)
Hii itatokana na simu kuishiwa chaji, na matatizo ya mitandao kama ilivyokuwa mwaka jana au mwaka juzi ...HASA KWA WENYE WAPENZI ZAIDI YA MMOJA.

Abiria chunga chako jioni hiyo.
 
Back
Top Bottom