Muhimu tukumbushane tarehe 28 sio mbali

Muhimu tukumbushane tarehe 28 sio mbali

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Tuweke rekodi sawa hapa, nawakumbusha tu;

Horoya 0-0 Wydad

Wydad 5-0 Horoya

Stade Malien 1-0 Wydad

Wydad 3-0 Stade malien

Petro Luanda 2-1 Wydad

Wydad 5-1 Petro Luanda

Heart of Oak 1-0 Wydad

Wydad 6-0 Heart of Oak

Rivers 2-1 Wydad

Wydad 6-0 Rivers
7C790CBF-41C4-49C8-AB1E-90F8F626DEDF.jpeg
 
TUWEKE REKODI SAWA HAPA: NAWAKUMBUSHA TU

Horoya 0-0 Wydad

Wydad 5-0 Horoya

Stade Malien 1-0 Wydad

Wydad 3-0 Stade malien

Petro Luanda 2-1 Wydad

Wydad 5-1 Petro Luanda

Heart of Oak 1-0 Wydad

Wydad 6-0 Heart of Oak

Rivers 2-1 Wydad

Wydad 6-0 Rivers
View attachment 2597374
Hii ni historia ya michezo iliyopita. Siyo lazima iathiri matokeo ya michezo ijayo.
 
Endeleeni kuichukulia poa Simba ila niwakumbushe ni timu mbili tu kwenye robo fainali ya Champions League zimeshinda nyumbani, Simba na Al Ahly nyingine zote zimefungwa kwao.

Pia waarabu ni wahuni tu, hawashindi kwa mpira wa uwanjani. Jana wanalalamikia kila call ya refa hata zile ambazo clear ziko sawa ili wajijengee mazingira ya kuhonga marefa huko kwao. Wakizidiwa wanawasha moshi ili kuwapoteza timu pinzani, uhuni mtupu.
 
Kinachotakiwa ni kuvuka aijalishi umevukaje, kama simba kashindwa kutumia home advantage licha ya kuroga kila eneo ikawezekana goli moja basi na wao watatumia mbinu zao wanazoamini zitawapa matokeo kwao, akuna cha kutafuta visingizio hapo
 
Simba kashindwaje kutumia home advantage wakati ameshinda? Huko Morocco draw yoyote Simba anapita, akifungwa 1-0 wanaenda penati, akifungwa kwa ushindi mwingine wowote wa tofauti ya goli moja, Simba bado anavuka. Na hapo sijaongelea ushindi ambao Simba anaweza pata huko huko. Mpaka hapo haujaona wana nafasi nzuri?

Mengine hayo unaongea mambo ya kufikirika, mimi nakwambia mambo yaliyo dhahiri.
 
Ukitaja jina Wydad tu Makolo presha inapanda juu, kuumaliza mwendo hakika si kitu kizuri kwa shabiki wa soka!

Leo Rivers walibebwa live na mwamuzi ila ubora wa Yanga ngoma ikawa nzito kwao.

Kila mtu ashinde kwao, Simba walizembea kwao Chama anacheza na jukwaa badala ya kutoa pande la goli! Kushindwa kutumia home ground itawacost sana Simba watajutia goli la Saba likigusa nyavu zao huko Morocco!
 
Makolo yatapita kuji fariji lakini moyoni yana pressure na ukweli yana ujua
 
Simba kashindwaje kutumia home advantage wakati ameshinda? Huko Morocco draw yoyote Simba anapita, akifungwa 1-0 wanaenda penati, akifungwa kwa ushindi mwingine wowote wa tofauti ya goli moja, Simba bado anavuka. Na hapo sijaongelea ushindi ambao Simba anaweza pata huko huko. Mpaka hapo haujaona wana nafasi nzuri?

Mengine hayo unaongea mambo ya kufikirika, mimi nakwambia mambo yaliyo dhahiri.
Upo sahihi sana ila Simba SC wameboa sana, ile mechi ya jana ilikuwa ya kushinda hata 4-0. Cha kushangaza wachezaji wanacheza na Jukwaa hasa Chama na Sakho. Waarabu wanaijua sana faida ya home ground, ni mara chache sana kukukosa
 
Uto mbona huyo mume wenu dhidi ya Kaizer chiefs matokeo yake hamuweki? Tena Kaizer mbovu ilimkandamiza pale pale kwao 0-1 na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final. Mnajifanya hamuzioni hizo mechi mbili.
 
Ni kweli makosa yamefanyika hasa ya ubinafsi. Ingekuwa vyema ushindi ungekuwa mnono zaidi ila kumbuka na wao walikosakosa pia. Wachezaji wakiangalia marudio wakaona walipokosea watacheza kwa umakini zaidi. Nafasi bado ipo ya kuvuka.

Ila narudia tena, siheshimu kabisa mpira wa waarabu kwa sababu ya kuona njia yoyote hata haramu ni sawa so long as ushindi unapatikana. Sikubaliani na falsafa hiyo.
 
Uto mbona huyo mume wenu dhidi ya Kaizer chiefs matokeo yake hamuweki? Tena Kaizer mbovu ilimkandamiza pale pale kwao 0-1 na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final. Mnajifanya hamuzioni hizo mechi mbili.
Wewe kaizer alikugonga Ngapi? Weka record sawa
 
Wewe kaizer alikugonga Ngapi? Weka record sawa
Umeweka rekodi za wydad au za Simba?Cha kushangaza unaweka rekodi za zamani kama hiyo dhidi ya horoya ni mwaka 2019 halafu ukaacha dhidi ya Kaizer aliyobamizwa pale pale kwao mwaka 2021.
 
TUWEKE REKODI SAWA HAPA: NAWAKUMBUSHA TU

Horoya 0-0 Wydad

Wydad 5-0 Horoya

Stade Malien 1-0 Wydad

Wydad 3-0 Stade malien

Petro Luanda 2-1 Wydad

Wydad 5-1 Petro Luanda

Heart of Oak 1-0 Wydad

Wydad 6-0 Heart of Oak

Rivers 2-1 Wydad

Wydad 6-0 Rivers
View attachment 2597374
Mbona hii umeiacha?
Wydad 0-1 kaizer chief
Kaizer chief 0-0 Wydada
 
Back
Top Bottom