Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hii ni historia ya michezo iliyopita. Siyo lazima iathiri matokeo ya michezo ijayo.TUWEKE REKODI SAWA HAPA: NAWAKUMBUSHA TU
Horoya 0-0 Wydad
Wydad 5-0 Horoya
Stade Malien 1-0 Wydad
Wydad 3-0 Stade malien
Petro Luanda 2-1 Wydad
Wydad 5-1 Petro Luanda
Heart of Oak 1-0 Wydad
Wydad 6-0 Heart of Oak
Rivers 2-1 Wydad
Wydad 6-0 Rivers
View attachment 2597374
Kinachotakiwa ni kuvuka aijalishi umevukaje, kama simba kashindwa kutumia home advantage licha ya kuroga kila eneo ikawezekana goli moja basi na wao watatumia mbinu zao wanazoamini zitawapa matokeo kwao, akuna cha kutafuta visingizio hapoEndeleeni kuichukulia poa Simba ila niwakumbushe ni timu mbili tu kwenye robo fainali ya Champions League zimeshinda nyumbani, Simba na Al Ahly nyingine zote zimefungwa kwao.
Pia waarabu ni wahuni tu, hawashindi kwa mpira wa uwanjani. Jana wanalalamikia kila call ya refa hata zile ambazo clear ziko sawa ili wajijengee mazingira ya kuhonga marefa huko kwao. Wakizidiwa wanawasha moshi ili kuwapoteza timu pinzani, uhuni mtupu.
Simba kashindwaje kutumia home advantage wakati ameshinda? Huko Morocco draw yoyote Simba anapita, akifungwa 1-0 wanaenda penati, akifungwa kwa ushindi mwingine wowote wa tofauti ya goli moja, Simba bado anavuka. Na hapo sijaongelea ushindi ambao Simba anaweza pata huko huko. Mpaka hapo haujaona wana nafasi nzuri?Kinachotakiwa ni kuvuka aijalishi umevukaje, kama simba kashindwa kutumia home advantage licha ya kuroga kila eneo ikawezekana goli moja basi na wao watatumia mbinu zao wanazoamini zitawapa matokeo kwao, akuna cha kutafuta visingizio hapo
Mkuu watu wataahrisha kupeleka timu uwanjani hv hvTUWEKE REKODI SAWA HAPA: NAWAKUMBUSHA TU
Horoya 0-0 Wydad
Wydad 5-0 Horoya
Stade Malien 1-0 Wydad
Wydad 3-0 Stade malien
Petro Luanda 2-1 Wydad
Wydad 5-1 Petro Luanda
Heart of Oak 1-0 Wydad
Wydad 6-0 Heart of Oak
Rivers 2-1 Wydad
Wydad 6-0 Rivers
View attachment 2597374
Naitakia Simba kukandwa week (7-0) huko Morocco!Nawatakia kila jema Simba Sports Club
Upo sahihi sana ila Simba SC wameboa sana, ile mechi ya jana ilikuwa ya kushinda hata 4-0. Cha kushangaza wachezaji wanacheza na Jukwaa hasa Chama na Sakho. Waarabu wanaijua sana faida ya home ground, ni mara chache sana kukukosaSimba kashindwaje kutumia home advantage wakati ameshinda? Huko Morocco draw yoyote Simba anapita, akifungwa 1-0 wanaenda penati, akifungwa kwa ushindi mwingine wowote wa tofauti ya goli moja, Simba bado anavuka. Na hapo sijaongelea ushindi ambao Simba anaweza pata huko huko. Mpaka hapo haujaona wana nafasi nzuri?
Mengine hayo unaongea mambo ya kufikirika, mimi nakwambia mambo yaliyo dhahiri.
Ni kweli makosa yamefanyika hasa ya ubinafsi. Ingekuwa vyema ushindi ungekuwa mnono zaidi ila kumbuka na wao walikosakosa pia. Wachezaji wakiangalia marudio wakaona walipokosea watacheza kwa umakini zaidi. Nafasi bado ipo ya kuvuka.Upo sahihi sana ila Simba SC wameboa sana, ile mechi ya jana ilikuwa ya kushinda hata 4-0. Cha kushangaza wachezaji wanacheza na Jukwaa hasa Chama na Sakho. Waarabu wanaijua sana faida ya home ground, ni mara chache sana kukukosa
Mjinga kweli huyu, wenzie wamekandwa yeye anacheka
Wewe kaizer alikugonga Ngapi? Weka record sawaUto mbona huyo mume wenu dhidi ya Kaizer chiefs matokeo yake hamuweki? Tena Kaizer mbovu ilimkandamiza pale pale kwao 0-1 na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final. Mnajifanya hamuzioni hizo mechi mbili.
Umeweka rekodi za wydad au za Simba?Cha kushangaza unaweka rekodi za zamani kama hiyo dhidi ya horoya ni mwaka 2019 halafu ukaacha dhidi ya Kaizer aliyobamizwa pale pale kwao mwaka 2021.Wewe kaizer alikugonga Ngapi? Weka record sawa
Mbona hii umeiacha?TUWEKE REKODI SAWA HAPA: NAWAKUMBUSHA TU
Horoya 0-0 Wydad
Wydad 5-0 Horoya
Stade Malien 1-0 Wydad
Wydad 3-0 Stade malien
Petro Luanda 2-1 Wydad
Wydad 5-1 Petro Luanda
Heart of Oak 1-0 Wydad
Wydad 6-0 Heart of Oak
Rivers 2-1 Wydad
Wydad 6-0 Rivers
View attachment 2597374