Muhimu: Usinunue Simu Used / Refubrished bila kusoma uzi huu

Mr_mkisi

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
15
Reaction score
47
Watu wengi wanapenda simu za kisasa zenye uwezo mkubwa kwa bei ya kawaida. Hali hii inapelekea wengi wao kuamua kununua simu zilizotumika (used) kutoka nje ya nchi, katika masoko maarufu kama Kariakoo au Makumbusho, na maeneo mengine.

Hivi karibuni, kupitia jukwaa hili, kumeibuka mjadala mkubwa kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wateja wanaponunua simu hizi. Wengi wao wanalalamika kuwa licha ya kupewa warranty, simu zao zinapoharibika hawapati msaada wowote kutoka kwa wauzaji.

Kabla ya kuendelea zaidi, ni muhimu kujua utofauti kati ya simu used na refurbished.

Utofauti kati ya Simu Used na Refurbished

  1. Simu Used
    Hii ni simu ambayo imetumika kwa muda fulani na baadaye kuingizwa sokoni kwa ajili ya kuuuzwa tena.
  2. Simu Refurbished
    Hii ni simu ambayo ilianza kama mpya, ikatumika kwa muda, lakini mtumiaji aliirudisha kiwandani au katika maduka maalum yanayotambulika na kampuni husika. Sababu za kurudisha zinaweza kuwa matatizo madogo au bila matatizo kabisa. Mara nyingine mteja anaweza kuirudisha kwa sababu ya kutumia warranty au kutaka kuboresha (upgrade).
Simu hizo hutengenezwa upya na kurudishwa sokoni zikiwa katika hali bora, mara nyingi zikiwa zimefungwa kwenye boksi na sealed. Hata hivyo, si rahisi kwa wateja wengi kutambua kuwa ni refurbished, hasa kwa sababu zinaonekana kama mpya.

Kwa mfano, kwa simu maarufu kama iPhone, unaweza kujua tofauti kwa kutumia vigezo hivi:
  • Non-Active User: Hii inamaanisha wewe ni mtumiaji wa kwanza wa simu hiyo.
  • Active User: Hii ni simu ambayo tayari imetumika na mtu mwingine kabla yako.
Kwa ujumla, si simu zote zinazokuja kwenye boksi zilizofungwa (sealed) ni mpya. Hili linaonekana zaidi kwa chapa kubwa kama Apple, Samsung, Google Pixel, na Sony. Lakini chapa ndogo kama Infinix au Tecno, mara nyingi biashara yao inalenga zaidi soko la Afrika.

Kuhusu Warranty Card

Hata simu used zinazotoka Dubai, Marekani, na nchi nyingine hutolewa na warranty. Unaponunua simu, hakikisha unapewa warranty, ambayo mara nyingi huwa ya muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja.

Hata hivyo, kuna mambo yanayoweza kufanya warranty yako isifanye kazi:

  1. Kupitisha muda wa warranty
    Ukirudi dukani baada ya muda wa warranty kuisha, hautapata msaada wowote.
  2. Kutokurudi na warranty card husika
    Hakikisha unarudi na warranty card yako pamoja na simu. Pia, IMEI namba iliyoko kwenye warranty card lazima ilingane na ile ya simu yako. Ikiwa umepoteza warranty card, hakikisha simu yako ina stika yenye namba ya kipekee (IMEI sticker).
  3. Kufanya marekebisho kabla ya kuwajulisha wauzaji
    Simu yako ikiharibika, usiipeleke kwa fundi kabla ya kuwajulisha muuzaji.
  4. Kuharibu simu kwa makusudi
    Matukio kama simu kuanguka, kutumbukizwa majini, au kupigwa shoti kwa makusudi, yatafanya warranty yako isifanye kazi.
Ikiwa umefuata vigezo vyote, unapokwenda dukani hakikisha haukabidhi warranty card yako bila kupata msaada unaohitaji. Hiyo ndiyo dhamana yako.

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Simu Used au Refurbished

1. Fanya utafiti kuhusu simu unayotaka kununua
Jua sifa za simu unayotaka kununua, kama ukubwa wa kioo, uwezo wa betri, na teknolojia za mtandao (network compatibility). Usinunue simu kwa ushawishi wa rafiki bila kujua uwezo wake halisi.

2. Linganishha bei za simu sokoni
Tafuta wastani wa bei ya simu hiyo kwa kufanya utafiti kutoka kwa wauzaji 4-5. Epuka kununua simu kwa bei ya chini kupita kiasi au bei kubwa isiyo na msingi.

3. Jua historia ya muuzaji
Chunguza mitandao ya kijamii ya muuzaji, maoni ya wateja waliowahi kuhudumiwa, na jinsi anavyoshughulikia matatizo. Epuka wauzaji wa barabarani au wale ambao akaunti zao hazioneshi uwazi wa biashara yao.

4. Usijifanye mjuaji
Wauzaji wa simu mara nyingi wana uzoefu mkubwa. Jifanye hujui ili upate maelezo ya kina kuhusu bidhaa wanazouza.

Kwa mfano, mteja anaweza kutaka kununua iPhone 11 mpya, lakini akijulishwa kuwa Apple wameacha kutengeneza model hiyo haelewi. Wauzaji wengine wasio waaminifu wanaweza kumuuza iPhone refurbished kwa bei ya simu mpya.

5. Jipange kabla ya kununua simu
Unapotoka nyumbani, hakikisha unajua aina ya simu unayotaka, bei yake ya wastani, duka gani utaenda, na muuzaji unayemwamini. Pia, kuwa na mpango mbadala (plan B) iwapo hautapata simu uliyoikusudia.
Hii itakuepusha na kushawishiwa kununua simu za barabarani ambazo mara nyingi si za kuaminika.

Mimi ni BARAKA MKISI, muuzaji wa simu na laptop hapa Kariakoo, Mtaa wa Aggrey. Kama umependa makala hii, nitafute WhatsApp kupitia namba 0628210865. Nitakuunganisha kwenye kundi maalum linalotoa elimu ya simu na teknolojia bure.

Tuma neno NIUNGE kwa namba 0628210865 sasa hivi ili ujifunze zaidi! 🤝
 
Watu wengi wanapenda simu kali za kijanja kwa bei ya kawaida , hiyo inapelekea wengi wao kuamua kununua simu used kutoka nje kwenye masoko maarufu mfano . Kariakoo au Makumbusho nk.

Hivi karibuni kupitia jukwaa hili kumeibuka mjadala wengi kuuziwa simu mbovu na wengi wao hulalama kuwa licha ya kupewa warranty lakini simu yake inapo pata shida hawapati msaada wowote.

Kabla ya kuendelea tujue utofauti kati ya Simu used na Refubrished ....

Simu used mana yake imetumika kwa muda fulani kisha ikaingizwa tena sokoni ... Lakini Refubrished ni simu ilinunuliwa mpya ikatumika ,pengine ilikuwa na matatizo au haikuwa na matatizo mtumiaji akaamua kuirudisha kwenye kiwanda husika cha simu hiyo au maduka maalumu yanayotambulika na kampuni hiyo (pengine kutokana na warranty yake ,au aliichoka Kuitumia akataka kuupgrade , unaweza kishangaa inakuaje ?

Kiutamaduni sisi Waafrika tumetofautiana na wazungu ....
Wao huwa hawatumii simu zaidi ya miezi 6 maan wanaamini muda huo itakuwa imechoka itakuwa unatengeneza radiation ambazo zinakuwa hatari kwa ubongo Nk.

Hivyo hukusanya simu zao zote za kuletwa maeneo kama Afrika nk.

Nimeeleza hayo ili upate uelewa mpana kuhusu neno Refubrished kama ilipelekwa kiwandan inashida unatengenezwa kisha inarudishwa tena sokoni ...ikirudishwa sokoni nyingi hurudi zikiwa kwenye box na sealed kabisa ambazo nyingine inakuwa ngumu kujua.

Kwa simu kama iphone ni rahisi kujulikana maana kuna Non active users (wewe inamaana unakuwa mtumiaji wa kwanza ) na Active user maan simu hiyo ilitumika kabla yako . Bei kinatofautiana pia.

Hivyo cha maingi kujua ni kuwa sio kila simu inayokuja kwenye box sealed inakuwa mpya yaan wewe unakuwa wa kwanza kutumia laa hasha ...hii ni kwa brand kubwa za simu (Apple, Sony , Samsung, Google Pixels nk) achana na hizi ndogo ndogo kama Infinix au tecno mara nying soko lake linakuwa based Afrika .

Kuhusu warranty Card.....
Hata hizi simu used kutoka dubai ,USA nk ukienda kununua mzigo wa jumla kule kila simu lazima iwe na warranty...

Hata wewe ukienda kununua dukani mfano K koo lazima upewe warranty mara nyingi huwa miezi 6-mwaka 1.

Je, ni mambo gani yanaweza warranty yako isikusaidie?
1. Kupitisha muda
Hapa ukirudi dukani nje ya muda maalum wa warranty toka simu inunuliwe haiwezi kukusaidia.
2. Kuto kurudi na warranty card husika
Katika kila simu lazima uandikiwe warranty Card hakikisha ikikusumbua unarud na warranty yako na hakikisha imei namba iliyo andikwa kwenye warranty inafanana na ile ya kwwnye simu . Ikiwa umepoteza hakikisha simu yako haujaibandua kikaratasi kidogo ambacho kinabandikwa chini ya simu yako.
3. Usiipitishe kwa fundi kabla haujawasiliana na aliyekuuzia simu .
4. Iwapo umeiharibu kwa mambo ya makusudi mfano ...kugongesha ,kuangusha ,kutumbukiza kwenye maji au Kupigiza shoti na iwapo umefuata vigezo vyote ukienda dukani hakikisha haukabidhi warranty yako kwa muuzaji bila kusaidiwa maan hiyo ndio dhamana yako.

Mambo muhimu ya kuzingatia kabla haujanunua Simu Used / Refubrished

1. Tafuta taarifa sahihi ya simu unayotaka kununua
Mfano ukubwa wa kioo, uwezo wa battery, network usikubali kuambiwa tu na rafiki yako ukaenda kununua mwingine anaweza kulalamika battery mbovu kumbe simu ina 2500 mAh Alafu anataka ikae masaa 20 na charge.

2. Fanya research juu ya bei ya Simu unayotaka kununua
Pesa inayoweza kutofautiana kati ya muuzaji mmoja na mwingine haitofautiani sana hivyo jitahd kutafuta avarage ya bei ya simu yako angalia kwa wauzaji 4-5 kisha utapata avarage price , usikurupuke kwenda tu kununua pengine utauziwa kwa bei kubwa kuliko kawaida au unakimbilia kwenye bei ndogo zaidi ndipo utakapo uziwa kitu kibovu .

3. Fanya research kuhusu muuzaji unayetaka kwenda kununua simu . Fuatilia mitandao yake ya kijamii, kama anagroup jiunge kisha guatilia jinsi anavyo hudumia wateja na kuwasaidia nk ogopa kununua simu kwa watu ambao account zao haposti sura yake au anaposti chache mno na anaposti bidhaa pekee.

4. Usiwe mjuaji .
Wateja wengi wa simu wanataka kuwa juu ya wauzaji ili hali pengine hawajui mambo mengi kuhusu simu. Muuzaji ana experience kubwa kuhusu simu na anaijua bidhaa yake zaidi . Jifanye hujui chochote huku ukimdadisi kwa kina atakuambia kila kitu na wengi wao ni waungwana sana kwa wateja wapole na wanyenyekevu .

Mfano ... Binafsi huwa nakutana na wateja anakuambia anataka iphone 11 au 12 mpya ya kwenye box ...ukimuambia hizo hakuna mpya ,iphone wameacha kutengeneza anakuambia yy anaona watu wanauza mpya hata ukijaribu kumuelekeza vipi hawezi kukuelewa wakati kwa sasa iphone wana 16 😅.

Mtu wa namna hiyo akienda kwa muuzaji mwingine ambaye sio muungwana atamuuzia simu iphone 11 ambayo ameiweka kwenye box inaweza isiwe mbovu au genuine lakini akauziwa kwa bei ya simu mpya.

5.Unapotoka nyumbani kwenda kununua Simu hakikisha unakuwa unajua ,Unaenda dukani kununua simu gani ,ya aina gani ,unaenda duka gani ,kwa nani ,bei yake ni kiasi gani na iwapo utaomba punguzo hakikisha unamalizana nae kwwnye simu ...ukifika dukani uwe na kazi moja tu kukagua kiundani simu unayotaka kununua na pia hakikisha unakuwa na plan B . Iwapo utaikosa hiyo unachukua simu gani au kwa muuzajibgani mwingine .

Hii itakusaidia kukuepusha na kushikishwa simu na wauzaji wa barabarani ambao wao mara nyingi huwa sio waaminifu.

Mimi naitwa BARAKA MKISI
Ni muuzaji wa Simu na Laptop hapa Kariakoo ,Mtaa wa Aggrey.

Kama umependa makala hii nitafute kwa njia ya WhatsApp kwa namba 0628210865 ili nikuunge kqwnye group ambalo naposti simu kwa bei ya jumla na natoa elimu kuhusu Simu na Teknolojia buree kabisa .

Tuma neno NIUNGE kwenda namba 0628210865 sasa hivi upate kujifunza zaidi 🤝
Mkuu

Mkuu unavyosema kwa mfano nimekwambia nataka iPhone 11 mpya na wewe unanijib iPhone hawa tengenezi mpya unakua hamjaelewa Kampuni inaweza ikatengeneza bidhaa mfano iphone 12 lakini zikawa bado zipo hazijaisha kwenye stocks zao ukiziitaji unazipata sass kwanini unasema hakuna simu za iphone 12?
 
Note , kampuni inatoa simu na inajua idadi yake mfano copy laki 1 wanauza zikiisha kama itakua hawatoi tena model hio kwenye official page yao watakuandikia kabisa discontinued au o means hapo huyo mtu kweli akae na flagship dukan mpka ishindikane kuuzwa kwa muda huo mfano 12 uje uipate leo kweli?Inawezekana kibongo bongo mfano ukienda mitandao ya simu kama tigo utaikuta wanaiuza mpya ila sasa bei si ajabu ukakuta sawa na 14kwa sasa je utaenda wapi
 
Watu wengi wanapenda simu kali za kijanja kwa bei ya kawaida , hiyo inapelekea wengi wao kuamua kununua simu used kutoka nje kwenye masoko maarufu mfano . Kariakoo au Makumbusho nk.

Hivi karibuni kupitia jukwaa hili kumeibuka mjadala wengi kuuziwa simu mbovu na wengi wao hulalama kuwa licha ya kupewa warranty lakini simu yake inapo pata shida hawapati msaada wowote.

Kabla ya kuendelea tujue utofauti kati ya Simu used na Refubrished ....

Simu used mana yake imetumika kwa muda fulani kisha ikaingizwa tena sokoni ... Lakini Refubrished ni simu ilinunuliwa mpya ikatumika ,pengine ilikuwa na matatizo au haikuwa na matatizo mtumiaji akaamua kuirudisha kwenye kiwanda husika cha simu hiyo au maduka maalumu yanayotambulika na kampuni hiyo (pengine kutokana na warranty yake ,au aliichoka Kuitumia akataka kuupgrade , unaweza kishangaa inakuaje ?

Kiutamaduni sisi Waafrika tumetofautiana na wazungu ....
Wao huwa hawatumii simu zaidi ya miezi 6 maan wanaamini muda huo itakuwa imechoka itakuwa unatengeneza radiation ambazo zinakuwa hatari kwa ubongo Nk.

Hivyo hukusanya simu zao zote za kuletwa maeneo kama Afrika nk.

Nimeeleza hayo ili upate uelewa mpana kuhusu neno Refubrished kama ilipelekwa kiwandan inashida unatengenezwa kisha inarudishwa tena sokoni ...ikirudishwa sokoni nyingi hurudi zikiwa kwenye box na sealed kabisa ambazo nyingine inakuwa ngumu kujua.

Kwa simu kama iphone ni rahisi kujulikana maana kuna Non active users (wewe inamaana unakuwa mtumiaji wa kwanza ) na Active user maan simu hiyo ilitumika kabla yako . Bei kinatofautiana pia.

Hivyo cha maingi kujua ni kuwa sio kila simu inayokuja kwenye box sealed inakuwa mpya yaan wewe unakuwa wa kwanza kutumia laa hasha ...hii ni kwa brand kubwa za simu (Apple, Sony , Samsung, Google Pixels nk) achana na hizi ndogo ndogo kama Infinix au tecno mara nying soko lake linakuwa based Afrika .

Kuhusu warranty Card.....
Hata hizi simu used kutoka dubai ,USA nk ukienda kununua mzigo wa jumla kule kila simu lazima iwe na warranty...

Hata wewe ukienda kununua dukani mfano K koo lazima upewe warranty mara nyingi huwa miezi 6-mwaka 1.

Je, ni mambo gani yanaweza warranty yako isikusaidie?
1. Kupitisha muda
Hapa ukirudi dukani nje ya muda maalum wa warranty toka simu inunuliwe haiwezi kukusaidia.
2. Kuto kurudi na warranty card husika
Katika kila simu lazima uandikiwe warranty Card hakikisha ikikusumbua unarud na warranty yako na hakikisha imei namba iliyo andikwa kwenye warranty inafanana na ile ya kwwnye simu . Ikiwa umepoteza hakikisha simu yako haujaibandua kikaratasi kidogo ambacho kinabandikwa chini ya simu yako.
3. Usiipitishe kwa fundi kabla haujawasiliana na aliyekuuzia simu .
4. Iwapo umeiharibu kwa mambo ya makusudi mfano ...kugongesha ,kuangusha ,kutumbukiza kwenye maji au Kupigiza shoti na iwapo umefuata vigezo vyote ukienda dukani hakikisha haukabidhi warranty yako kwa muuzaji bila kusaidiwa maan hiyo ndio dhamana yako.

Mambo muhimu ya kuzingatia kabla haujanunua Simu Used / Refubrished

1. Tafuta taarifa sahihi ya simu unayotaka kununua
Mfano ukubwa wa kioo, uwezo wa battery, network usikubali kuambiwa tu na rafiki yako ukaenda kununua mwingine anaweza kulalamika battery mbovu kumbe simu ina 2500 mAh Alafu anataka ikae masaa 20 na charge.

2. Fanya research juu ya bei ya Simu unayotaka kununua
Pesa inayoweza kutofautiana kati ya muuzaji mmoja na mwingine haitofautiani sana hivyo jitahd kutafuta avarage ya bei ya simu yako angalia kwa wauzaji 4-5 kisha utapata avarage price , usikurupuke kwenda tu kununua pengine utauziwa kwa bei kubwa kuliko kawaida au unakimbilia kwenye bei ndogo zaidi ndipo utakapo uziwa kitu kibovu .

3. Fanya research kuhusu muuzaji unayetaka kwenda kununua simu . Fuatilia mitandao yake ya kijamii, kama anagroup jiunge kisha guatilia jinsi anavyo hudumia wateja na kuwasaidia nk ogopa kununua simu kwa watu ambao account zao haposti sura yake au anaposti chache mno na anaposti bidhaa pekee.

4. Usiwe mjuaji .
Wateja wengi wa simu wanataka kuwa juu ya wauzaji ili hali pengine hawajui mambo mengi kuhusu simu. Muuzaji ana experience kubwa kuhusu simu na anaijua bidhaa yake zaidi . Jifanye hujui chochote huku ukimdadisi kwa kina atakuambia kila kitu na wengi wao ni waungwana sana kwa wateja wapole na wanyenyekevu .

Mfano ... Binafsi huwa nakutana na wateja anakuambia anataka iphone 11 au 12 mpya ya kwenye box ...ukimuambia hizo hakuna mpya ,iphone wameacha kutengeneza anakuambia yy anaona watu wanauza mpya hata ukijaribu kumuelekeza vipi hawezi kukuelewa wakati kwa sasa iphone wana 16 😅.

Mtu wa namna hiyo akienda kwa muuzaji mwingine ambaye sio muungwana atamuuzia simu iphone 11 ambayo ameiweka kwenye box inaweza isiwe mbovu au genuine lakini akauziwa kwa bei ya simu mpya.

5.Unapotoka nyumbani kwenda kununua Simu hakikisha unakuwa unajua ,Unaenda dukani kununua simu gani ,ya aina gani ,unaenda duka gani ,kwa nani ,bei yake ni kiasi gani na iwapo utaomba punguzo hakikisha unamalizana nae kwwnye simu ...ukifika dukani uwe na kazi moja tu kukagua kiundani simu unayotaka kununua na pia hakikisha unakuwa na plan B . Iwapo utaikosa hiyo unachukua simu gani au kwa muuzajibgani mwingine .

Hii itakusaidia kukuepusha na kushikishwa simu na wauzaji wa barabarani ambao wao mara nyingi huwa sio waaminifu.

Mimi naitwa BARAKA MKISI
Ni muuzaji wa Simu na Laptop hapa Kariakoo ,Mtaa wa Aggrey.

Kama umependa makala hii nitafute kwa njia ya WhatsApp kwa namba 0628210865 ili nikuunge kqwnye group ambalo naposti simu kwa bei ya jumla na natoa elimu kuhusu Simu na Teknolojia buree kabisa .

Tuma neno NIUNGE kwenda namba 0628210865 sasa hivi upate kujifunza zaidi 🤝
sawa je hizi tunazoambiwa ni used kutoka Dubai ni used kweli au copy za simu original?
 
Watu wengi wanapenda simu za kisasa zenye uwezo mkubwa kwa bei ya kawaida. Hali hii inapelekea wengi wao kuamua kununua simu zilizotumika (used) kutoka nje ya nchi, katika masoko maarufu kama Kariakoo au Makumbusho, na maeneo mengine.

Hivi karibuni, kupitia jukwaa hili, kumeibuka mjadala mkubwa kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wateja wanaponunua simu hizi. Wengi wao wanalalamika kuwa licha ya kupewa warranty, simu zao zinapoharibika hawapati msaada wowote kutoka kwa wauzaji.

Kabla ya kuendelea zaidi, ni muhimu kujua utofauti kati ya simu used na refurbished.

Utofauti kati ya Simu Used na Refurbished

  1. Simu Used
    Hii ni simu ambayo imetumika kwa muda fulani na baadaye kuingizwa sokoni kwa ajili ya kuuuzwa tena.
  2. Simu Refurbished
    Hii ni simu ambayo ilianza kama mpya, ikatumika kwa muda, lakini mtumiaji aliirudisha kiwandani au katika maduka maalum yanayotambulika na kampuni husika. Sababu za kurudisha zinaweza kuwa matatizo madogo au bila matatizo kabisa. Mara nyingine mteja anaweza kuirudisha kwa sababu ya kutumia warranty au kutaka kuboresha (upgrade).
Simu hizo hutengenezwa upya na kurudishwa sokoni zikiwa katika hali bora, mara nyingi zikiwa zimefungwa kwenye boksi na sealed. Hata hivyo, si rahisi kwa wateja wengi kutambua kuwa ni refurbished, hasa kwa sababu zinaonekana kama mpya.

Kwa mfano, kwa simu maarufu kama iPhone, unaweza kujua tofauti kwa kutumia vigezo hivi:
  • Non-Active User: Hii inamaanisha wewe ni mtumiaji wa kwanza wa simu hiyo.
  • Active User: Hii ni simu ambayo tayari imetumika na mtu mwingine kabla yako.
Kwa ujumla, si simu zote zinazokuja kwenye boksi zilizofungwa (sealed) ni mpya. Hili linaonekana zaidi kwa chapa kubwa kama Apple, Samsung, Google Pixel, na Sony. Lakini chapa ndogo kama Infinix au Tecno, mara nyingi biashara yao inalenga zaidi soko la Afrika.

Kuhusu Warranty Card

Hata simu used zinazotoka Dubai, Marekani, na nchi nyingine hutolewa na warranty. Unaponunua simu, hakikisha unapewa warranty, ambayo mara nyingi huwa ya muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja.

Hata hivyo, kuna mambo yanayoweza kufanya warranty yako isifanye kazi:

  1. Kupitisha muda wa warranty
    Ukirudi dukani baada ya muda wa warranty kuisha, hautapata msaada wowote.
  2. Kutokurudi na warranty card husika
    Hakikisha unarudi na warranty card yako pamoja na simu. Pia, IMEI namba iliyoko kwenye warranty card lazima ilingane na ile ya simu yako. Ikiwa umepoteza warranty card, hakikisha simu yako ina stika yenye namba ya kipekee (IMEI sticker).
  3. Kufanya marekebisho kabla ya kuwajulisha wauzaji
    Simu yako ikiharibika, usiipeleke kwa fundi kabla ya kuwajulisha muuzaji.
  4. Kuharibu simu kwa makusudi
    Matukio kama simu kuanguka, kutumbukizwa majini, au kupigwa shoti kwa makusudi, yatafanya warranty yako isifanye kazi.
Ikiwa umefuata vigezo vyote, unapokwenda dukani hakikisha haukabidhi warranty card yako bila kupata msaada unaohitaji. Hiyo ndiyo dhamana yako.

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Simu Used au Refurbished

1. Fanya utafiti kuhusu simu unayotaka kununua
Jua sifa za simu unayotaka kununua, kama ukubwa wa kioo, uwezo wa betri, na teknolojia za mtandao (network compatibility). Usinunue simu kwa ushawishi wa rafiki bila kujua uwezo wake halisi.

2. Linganishha bei za simu sokoni
Tafuta wastani wa bei ya simu hiyo kwa kufanya utafiti kutoka kwa wauzaji 4-5. Epuka kununua simu kwa bei ya chini kupita kiasi au bei kubwa isiyo na msingi.

3. Jua historia ya muuzaji
Chunguza mitandao ya kijamii ya muuzaji, maoni ya wateja waliowahi kuhudumiwa, na jinsi anavyoshughulikia matatizo. Epuka wauzaji wa barabarani au wale ambao akaunti zao hazioneshi uwazi wa biashara yao.

4. Usijifanye mjuaji
Wauzaji wa simu mara nyingi wana uzoefu mkubwa. Jifanye hujui ili upate maelezo ya kina kuhusu bidhaa wanazouza.

Kwa mfano, mteja anaweza kutaka kununua iPhone 11 mpya, lakini akijulishwa kuwa Apple wameacha kutengeneza model hiyo haelewi. Wauzaji wengine wasio waaminifu wanaweza kumuuza iPhone refurbished kwa bei ya simu mpya.

5. Jipange kabla ya kununua simu
Unapotoka nyumbani, hakikisha unajua aina ya simu unayotaka, bei yake ya wastani, duka gani utaenda, na muuzaji unayemwamini. Pia, kuwa na mpango mbadala (plan B) iwapo hautapata simu uliyoikusudia.
Hii itakuepusha na kushawishiwa kununua simu za barabarani ambazo mara nyingi si za kuaminika.

Mimi ni BARAKA MKISI, muuzaji wa simu na laptop hapa Kariakoo, Mtaa wa Aggrey. Kama umependa makala hii, nitafute WhatsApp kupitia namba 0628210865. Nitakuunganisha kwenye kundi maalum linalotoa elimu ya simu na teknolojia bure.

Tuma neno NIUNGE kwa namba 0628210865 sasa hivi ili ujifunze zaidi! 🤝
Niunge Kwa no 0764102565
 
Back
Top Bottom