msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,786 Reaction score 5,963 May 5, 2013 #1 Nipe KINANA ya baridi=Nipe NDOVU ya baridi.. Mengine unayoyajua..
M mandemba Senior Member Joined Apr 7, 2012 Posts 103 Reaction score 18 May 5, 2013 #3 Mkuu nimeingia baa hapa mtaani mhudumu kaniletea Ndovu yangu than akaniuliza kwa nini inaitwa KINANA siku hizi, nikatumia muda niliopata kupeleka elimu ya kutosha ikumbukwe kuwa Hakuna Jiwe litakalo kaa juu ya mwenzie
Mkuu nimeingia baa hapa mtaani mhudumu kaniletea Ndovu yangu than akaniuliza kwa nini inaitwa KINANA siku hizi, nikatumia muda niliopata kupeleka elimu ya kutosha ikumbukwe kuwa Hakuna Jiwe litakalo kaa juu ya mwenzie
longi mapexa JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,265 Reaction score 4,250 Jul 7, 2016 #4 now days ni #kitwanga........pepeta!