S Shafiri Member Joined May 5, 2013 Posts 98 Reaction score 14 May 4, 2014 #1 Mpaka sasa jinsi gani viwango vya ufaulu na madaraja yaani Div I mpaka 0 kwa mtihani wa kidato cha sita havijawekwa wazi. Wakuu kama kuna mwenye kujua atujuze tafadhali.
Mpaka sasa jinsi gani viwango vya ufaulu na madaraja yaani Div I mpaka 0 kwa mtihani wa kidato cha sita havijawekwa wazi. Wakuu kama kuna mwenye kujua atujuze tafadhali.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 May 4, 2014 #2 safari hii GPA ndo mpango mzima kwa wanafunzi waziri ameshatoa miongozo kwa maafisa elimu wote, halafu muda huu unatakiwa ulale au usome
safari hii GPA ndo mpango mzima kwa wanafunzi waziri ameshatoa miongozo kwa maafisa elimu wote, halafu muda huu unatakiwa ulale au usome