Muhimu!...

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
Five secrets of perfect relationship!

1. It is important to have a woman who helps at home, cook, cleans and has a Job.

sawasawa?

2. It is important to have a woman who can make you laugh...

au sio jamani...?

3. It is important to have a woman who you can trust and doesnt lie.

...na huo ndio ukweli wenyewe...

4. It is important to have a woman who is good in bed and likes being with you

naaaam... naaam ...naaam...!

5. It is important, very very important that these women dont know each others!!!

sawasawa wakuu?... haya WEEKEND NJEMA!!!!
 



nimekupata mkuu....but wapo walio na all those qualities..now that's a KEEPER!..like my EX....
kwiii kwiiii
 

You just described a maid, Wanda Sykes, your mother and a call girl
 
...secrets of perfect relationship4. It is important to have a woman who is good in bed and likes being with you

naaaam... naaam ...naaam...!
Naaaam hili ndilo muhimu haswaaa.....sio awe goi goi awe karateka kwa 6/6....ajue kuimba kwa kipaza sauti.....ushikaji wa kipaza una matter....sauti pia..sio agugumie tuu...etc etc etc...
 

naona umesahau "it take two to tango".

naamini ralationship inayozungumziwa hapa ni ya wawili sasa
mbona umeashiria tu kile ambacho mwanamama anahitajiwa kufanya?
kama dume akiwa "kipofu" au/na "bubu" huyo dada hata akiwa na hizo
qualities atakuwa "anampigia mbuzi gitaa tu"
 
naona umesahau "it take two to tango".

naamini ralationship inayozungumziwa hapa ni ya wawili

...Really? aaaah Kafara read-btwn-the-dots...!

5. It is important, very very important that these women dont know each others!!!

usipokuwa muangalifu utapatwa kigugumizi kujitetea scratch marks mgongoni, 'bytes' mwilini, lipstick na "strange" Eau de Perfumes kwenye nguo zako!
 



Mkuu umesema kweli kabisa lakini nadhani hizo sehemu nyekundu nilizoweka ni kwamba kama wapo wanawake wa namna hiyo ni 60% out of 100% maana maisha ya siku hizo sio mchezo!!
 
Mbona imelegwa kwa wanawake tuu, kwani relationship huwa ni wanawake kwa wanawake au wanaume kwa wanawake. Wekeni nazakiume basi...kubalance mambo.
 
Mbona imelegwa kwa wanawake tuu, kwani relationship huwa ni wanawake kwa wanawake au wanaume kwa wanawake. Wekeni nazakiume basi...kubalance mambo.

...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Penny hata wewe ukiweka sio mbaya, hapataaribika neno,...tukianzia na 'chungu hakikai kwenye figa moja'...

enheee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…