Muhogo Mchungu

Muhogo Mchungu

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
MHOGO.jpgnamkubali sana huyu jamaa kwa kukitumia vyema misemo ya kiswahili kwenye kazi yake
kama wewe ni fan wa muigizaji mahiri (muhogo mchungu) tukumbushe misemo unayoikumbuka
ninao ukukumbuka mimi 1.ongea wewe kiazi mi muhogo nina mzizi
2.kunya anye kuku akinya bata kaharisha
mingine tafadhali
 
Mi nilimkubali kwenye kigodoro, binamu itafute hii movie ya kigodoro inakufaa sana Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi namkubali sana huyu mzeee inabidi Hollywood wawe wanakuja kusaka vipaji vya kuongea hadi bongo
 
Duuh ukute sasa muhogo yupo na bi Hindu mbona utaenjoy hiyo misemo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kiukwel anajua vilivyo kama kwenye movie mpya ya KIGODORO mule ndo katisha shaaaaaaraaaautiiiii kwakeeee.
 
Kwa misemo namkubali,
Ila kwa kuigiza kuna mzee mwenzake kwenye wa zamani uliochezwa na ITV unaoitwa Taswira alikuwa anaitwa Mr.Deo.
Mzee ana sauti yake flani ya kukoroma,sijui jina lake halisi anaitwa nani
 
View attachment 145373namkubali sana huyu jamaa kwa kukitumia vyema misemo ya kiswahili kwenye kazi yake
kama wewe ni fan wa muigizaji mahiri (muhogo mchungu) tukumbushe misemo unayoikumbuka
ninao ukukumbuka mimi 1.ongea wewe kiazi mi muhogo nina mzizi
2.kunya anye kuku akinya bata kaharisha
mingine tafadhali
vitu vyote sawa ila hiyo ya ''ivi kipofu akiota ndoto inakua video au audio''?
 
Back
Top Bottom