Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Kiukwel anajua vilivyo kama kwenye movie mpya ya KIGODORO mule ndo katisha shaaaaaaraaaautiiiii kwakeeee.
vitu vyote sawa ila hiyo ya ''ivi kipofu akiota ndoto inakua video au audio''?View attachment 145373namkubali sana huyu jamaa kwa kukitumia vyema misemo ya kiswahili kwenye kazi yake
kama wewe ni fan wa muigizaji mahiri (muhogo mchungu) tukumbushe misemo unayoikumbuka
ninao ukukumbuka mimi 1.ongea wewe kiazi mi muhogo nina mzizi
2.kunya anye kuku akinya bata kaharisha
mingine tafadhali
Duuh ukute sasa muhogo yupo na bi Hindu mbona utaenjoy hiyo misemo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ngoja nikaitafute kigodorooo