muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

nakumbuka haka kasentensi,'simba akimla binadamu ni habari ila binadamu akila simba ni habari kubwa sana'
 
Wapi? miye mbara tena chinga................hila wanvutia kwa madoido yao hao.......ati! Shufaa kumbe ni apple?
nini Twaiba kuna vitu vya Milhat Humaymat,Farhiya,Hyrat,Najat,Hytham,Zulekha,Suhaila..............

Loh! kweli hapo kwenye red sio majina ya majini au!!!??
 
mwanamke kagawa X5? aisee hizo ofisi zenu zipo wapi nije na mie kutongozwa :biggrin1:
 
Japokuwa hujanitaja jina ila sio fresh mambo ya ofisini kuyaleta humu jamvini, ulifikiri sipitagi humu nini?
- kama kuhongwa si na hongwa mie.. Kwa kuanzia kesho naanza upepelezi hapo ofisini nitakubaini tu
 
inaonekana umekereka sana kwa hili eeh, punguza jazba coz ishatokea hope hawa mabinti wamejifunza kitu!
 
Japokuwa hujanitaja jina ila sio fresh mambo ya ofisini kuyaleta humu jamvini, ulifikiri sipitagi humu nini?
- kama kuhongwa si na hongwa mie.. Kwa kuanzia kesho naanza upepelezi hapo ofisini nitakubaini tu
Hahahaaah!! Atakuwa labda ni huyo aliyezidiwa kete.
 
Natamani nikuwe mtafiti halafu nifuatilie maisha ya huyu kijana...atakuwa na trait fulani ambayo inaweza kufaa kwenye GMO!!

Babu DC!!
 
Holy Pope!! etiiii ''Muhonge vya thamani mwanamme uone kama atachomoa kwako''
 
Japokuwa hujanitaja jina ila sio fresh mambo ya ofisini kuyaleta humu jamvini, ulifikiri sipitagi humu nini?
- kama kuhongwa si na hongwa mie.. Kwa kuanzia kesho naanza upepelezi hapo ofisini nitakubaini tu
Ahhhh umezowea kupewa babu weye ebu toa na weye japo siku moja....lol
 
mwanamke kagawa X5? aisee hizo ofisi zenu zipo wapi nije na mie kutongozwa :biggrin1:
Mwenzangu huyu bwana niujuaji wake na alivyo waweka hao ma zuzu wake wengine wala hawahongi gari utaishia na chupa za perfume na nguo mara saa hakuna zaidi ya hapo...
 
Kipenda roho hula nyama mbichi, hata wanaume wanaohonga si kwamba hakuna wanawake bali kuna kitu unique anakipata kwake
 
inaonekana huyu jamaa anatoa dozi kamili kunako 6 kwa 6
kwa wanavyo msifia hao zuzu wake wawili wanasema ana machine kubwa na hodari wa kuzama chumvini anajisahau hasa
akiwa huko,lakini still sifa hizo sio zakutoa gari looooooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…