Muhoozi Kainerugaba anataka kuanza kumkamua mkosoaji wake utumbo.

Unahisi kinachoendelea kwa sasa na hizi tume zao zimetokana na "Kufanya nini?".
Yale yalitokea kwa bahati tu, na kwa jinsi mama yenu alivyohandle lile suala kwa mkono wa chuma sidhani kama itakuja kutokea watu kusema fyoko in the next few decades
 
Hii kweli Imeloa
 
Aibu naona mie, why Africa tuna mifumo mibovu hivi yaani mtoto wa aliekuwa rais anataka awe mlisi wa baba yake hii sio demokrasia ni takataka
 
Waganda nao wajinga sana, hivi hawaoni huyu jamaa atakua hatari kuliko baba yake? Yaani wamezubaa tu wakati wanaona kansa inaenea kwa kasi
Mkuu kwema? Hivi Abdul akiamua kufanya hayo unadhani Kuna mtu anaweza kunyanyua mdomo kulaani hadharani? Siamini kama waganda na watanzania wana utofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…