Muhoozi Kainerugaba Rubereza. Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni

Muhoozi Kainerugaba Rubereza. Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
351
Reaction score
887
Picha mnato ni Jeneral Muhoozi Kainerugaba Rubereza.

Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni Kaguta wakati wowote.
#CMCA
20221203_163606.jpg
 
Original plan ilikua kumuweka 2017 ila Sasa Walifikiria "exit plan" nzuri ya kufanya maana walijua kisiasa hakubaliki

Plan ikawa mapinduzi "feki" ili Muhoozi aonekane shujaa kwa kupindua dikteta!!

nakumbuka majenerali wengi sana walipinga hili akiwemo Gen.Tinyefunza A.K.A Sejussa aliyekimbilia Uingereza baada ya kuvujisha Siri hii.

wengi waliobaki walikufa vifo vya kutatanisha ikiwemo Moja kufia kwa mchepuko nadhani Gen.Mayombo kama sikosei!!

so baada ya plan kufeli naona wakampromote faster faster afike kuwa Full General Ili apate justification ya kuachiwa nchi. As it stands ndio atakua mgombea wa NRM 2027 maana katiba Yao inaruhusu wanajeshi kujihusisha na siasa in fact wabunge/mawaziri wengi tu ni active soldiers wa UPDF!!

kimbembe kutakua wagganda ambao ndio wengi kukubali kuongozwa na Mtutsi?? Na ikitokea M7 amefariki kabla ya 2027 then naona vita kubwa sana kati ya wagganda (Kabila la Bobi wine na Kabaka) dhidi ya Watutsi (Hema, Ankole, Bakiga, Bachwez n.k) ambao ndio wanatawala Kila sekta ya serikali.

muda utaongea
Cc Proved Moronight walker MALCOM LUMUMBA imhotep
 
😁😁 Tena wale ankle, hema na wenzao wanachukiwa kweli uganda maana wanawaona kama wanawatesa, ila jeshi la Uganda wamechanganyika sana tena mimi naona wabantu ndo wengi kwenye jeshi la Uganda.
Ila wale wawe makini maana daa.
 
Uganda tokea ipate Uhuru tulishuhudia Obote kumshambulia Kabaka, Iddi amini kumpindua Obote na kuifilisi Nchi, na kuingiza kwenye Vita na Tanzania yetu.
Uganda ikawa kwenye Chaos kwa muda mrefu.
Na yote hayo yalikuwa yakifanywa na Makabila ya North Lang'o Acholi Kakwa.

Museveni aliposhika na Alliance yake na Watutsi ndio Uganda kutulia na kuwa na Amani tena ya kutosha kabisa.

Watutsi wanajua kutawala hicho kipaji wamepewa na Mungu.

Na sasa hivi Museveni amuachie Salim Salehe.
 
wengi waliobaki walikufa vifo vya kutatanisha ikiwemo Moja kufia kwa mchepuko nadhani Gen.Mayombo kama sikosei!!
Sio Gen.Kazini kweli huyu unayemlenga ?

As it stands ndio atakua mgombea wa NRM 2027 maana katiba Yao inaruhusu wanajeshi kujihusisha na siasa in fact wabunge/mawaziri wengi tu ni active soldiers wa UPDF
Huko NRM anakubalika kweli na wanachama?...au huenda akaleta mgawanyiko chamani?...

ikitokea M7 amefariki kabla ya 2027 then naona vita kubwa sana kati ya wagganda (Kabila la Bobi wine na Kabaka) dhidi ya Watutsi (Hema, Ankole, Bakiga, Bachwez n.k) ambao ndio wanatawala Kila sekta ya serikali.
Hili suala la utawala wa Kabaka huenda likawa mwiba huko mbeleni kama huu utawala wa Buganda ukiungana na wapinzani wake Kainerugaba......huenda wakawatuliza kimabavu kama walivyofanya awali walipokosana mpaka polisi kuvamia makao ya huo utawala.

Mzee M7 aliamua kurejesha hadhi ya Kabaka ili aungwe mkono kisiasa ila nyakati zinavyoenda mengi hubadilika.....sijajua kama raia wa Uganda wapo tayari kwa utawala wa kifamilia.
mtu chake JokaKuu Mag3 Moronight walker
 
Back
Top Bottom