Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 351
- 887
😁😁 Tena wale ankle, hema na wenzao wanachukiwa kweli uganda maana wanawaona kama wanawatesa, ila jeshi la Uganda wamechanganyika sana tena mimi naona wabantu ndo wengi kwenye jeshi la Uganda.Original plan ilikua kumuweka 2017 ila Sasa Walifikiria "exit plan" nzuri ya kufanya maana walijua kisiasa hakubaliki
Plan ikawa mapinduzi "feki" ili Muhoozi aonekane shujaa kwa kupindua dikteta!!
nakumbuka majenerali wengi sana walipinga hili akiwemo Gen.Tinyefunza A.K.A Sejussa aliyekimbilia Uingereza baada ya kuvujisha Siri hii.
wengi waliobaki walikufa vifo vya kutatanisha ikiwemo Moja kufia kwa mchepuko nadhani Gen.Mayombo kama sikosei!!
so baada ya plan kufeli naona wakampromote faster faster afike kuwa Full General Ili apate justification ya kuachiwa nchi. As it stands ndio atakua mgombea wa NRM 2027 maana katiba Yao inaruhusu wanajeshi kujihusisha na siasa in fact wabunge/mawaziri wengi tu ni active soldiers wa UPDF!!
kimbembe kutakua wagganda ambao ndio wengi kukubali kuongozwa na Mtutsi?? Na ikitokea M7 amefariki kabla ya 2027 then naona vita kubwa sana kati ya wagganda (Kabila la Bobi wine na Kabaka) dhidi ya Watutsi (Hema, Ankole, Bakiga, Bachwez n.k) ambao ndio wanatawala Kila sekta ya serikali.
muda utaongea
Cc Proved Moronight walker MALCOM LUMUMBA imhotep
Sio Gen.Kazini kweli huyu unayemlenga ?wengi waliobaki walikufa vifo vya kutatanisha ikiwemo Moja kufia kwa mchepuko nadhani Gen.Mayombo kama sikosei!!
Huko NRM anakubalika kweli na wanachama?...au huenda akaleta mgawanyiko chamani?...As it stands ndio atakua mgombea wa NRM 2027 maana katiba Yao inaruhusu wanajeshi kujihusisha na siasa in fact wabunge/mawaziri wengi tu ni active soldiers wa UPDF
Hili suala la utawala wa Kabaka huenda likawa mwiba huko mbeleni kama huu utawala wa Buganda ukiungana na wapinzani wake Kainerugaba......huenda wakawatuliza kimabavu kama walivyofanya awali walipokosana mpaka polisi kuvamia makao ya huo utawala.ikitokea M7 amefariki kabla ya 2027 then naona vita kubwa sana kati ya wagganda (Kabila la Bobi wine na Kabaka) dhidi ya Watutsi (Hema, Ankole, Bakiga, Bachwez n.k) ambao ndio wanatawala Kila sekta ya serikali.