Muhsin Mambo yuko wapi?

Muhsin Mambo yuko wapi?

Yawezekana aisee Excel maana industry yao iko dynamic sana. Pengine yuko NHK au VoA.

possible mkuu, sahara media inavyosemekana wafanyakazi wake wanaminywa sana na management, as if waalimu vile!

so hapo mobility of labour/labour turnover lazima itakuwa kubwa! na wasipoangalia hilo suala, watapoteza magwiji katika tasnia hii ya mass communication...
 
Hapo kwenye bold ulimaanisha 'MC Stopper"
MC Hammer au MC Stopper kwangu ni immaterial.Sijui kwa nini naikumbuka zaidi MC Hammer. Labda ni kwa sababu ya programme fulani ya muziki aliyoianzisha akiwa startv. Anyway Balantanda, thank you for contributing.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom