Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

Enzi za jiwe aliufyata kimya, na sisi atutaki wanafiki. kipindi kile alitamba wanatembelea mavietee. amuache mama naye atambeee πŸ“’πŸ“’πŸ“’
 
KKosa la Samia kwa hio ni kugoma kutoka nje?

usichoelewa nini
sheria ni kuwa mgombea awe nje mchakato ukiendelea
yeye SAMIA alikataa kutoka nje
ndio mana polepile akasema kuwa hata magufuri alitoka nje kuonesha kuwa mchakata haukuenda kulingana na sheria waliojiwekea CHAMA
 
Polepole hajaona kosa la Samia katika utawala wa Samia .ila mchakato wa kumpata Samia ndio kaona una makosa
 
Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato uliompitisha ulikuwa haramu na siku zote haramu huzaa haramu.
Kwa hiyo tutegemee msajili wa vyama vya siasa aliyeisimamisha CDM afanye kazi yake kwenye chama tawala?
 
Atuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee πŸ€”πŸ€”
Hayo hawezi kuyaongelea kwa sababu anahusika
 
Polepole ni walewale CCM, uhuni walioufanya 2020 hajauzungumzia kwanini?
 
Polepole hajaona kosa la Samia katika utawala wa Samia .ila mchakato wa kumpata Samia ndio kaona una makosa
Mkuu, umemsikiliza alivyofafanua, kwa mfano hiyo pointi ya 2 hapo juu?

Ni wazi hujaelewa alichozungumza balozi Polepole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…