pole pole hana hoja, anaropoka ropoka tu
Mkuu, hakusema lakini ndicho alichomaanisha.Namba 3 ni uongo. Hakutamka "Utauwawa". Kasema "utaondoka hapa" akimaanisha Bungeni.
Akili ndogo sanaMnapenda sana porojo
Anadhani kwamba hoja lazima ziendane na matusi ndipo ziwe hoja.Hata kujua hoja ni lazima uwe na akili angalao ile ya kawaida. Kwa akili hiyo ya kwako huna uwezo wa kujua. Hiyo ya kwako ni ya kukuwezesha tu kufikisha chakula mdomo na kuvaa suruali.
Waache waliokamilika vichwani wajadili hoja za Polepole.
Akili kubwa zinapenda umbeya.Akili ndogo sana
Sijaelewa hiyo namba 4, Magufuli si kulikuwa na fomu 1 na kura za maigizo?
Hicho kitengo wamegawana na GwajimaMimi nilidhani anataja majina ya watu walikukuwa wanaokotwa wakielea kwenye viroba.
ANATAKA HIVYO..Kwahiyo kiufupi Slow Slow anataka Reforms zianzie huko huko ccm si ndio
Hujamsikiliza vyema, amesema nchi ni kama kuku asiye na kichwaPolepole hajaona kosa la Samia katika utawala wa Samia .ila mchakato wa kumpata Samia ndio kaona una makosa
Akili ndogo sanaAkili kubwa zinapenda umbeya.
Mmeshamsahau ht Lissu huko sasa hv mnademka na ngoma za CCM.
Unajuaje hawatokuwa huko kwa wapinzani?Cha kufanyika ni Kuwatoa CCM wakae PEMBENI then UPINZANI UINGIE MADARAKANI HATA KWA MUHULA MMOJA TU wa Miaka mi 5
Ajenge hoja zake yeye kama yeye. Aache kuingiza wengine. Hiyo ni fallacy!SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE@AbroadTanzania
1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.
2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.
3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!
4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya
5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema
6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya
#KataaWahuni
Kazi wanayo kujibu hoja za wana sisi emu wenzao bado pumzi ya moto cdmKama nawaona CCM wanavyohangaika kutaka kujibu hoja
tunaendelea kuhesabu walioko CCM mpaka sasa waliojitokeza ni Gwaj boy na Pole pole inaonyesha wako wengi, Moto ukiongezwa kidogo watatoka wengi mafichoniANATAKA HIVYO..
Na ni nan alomuua JPMAtuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee 🤔🤔
wanamenyana wenyewe kwa wenyeweKazi wanayo kujibu hoja za wana sisi emu wenzao pado pumzi ya moto cdm
Hayo ya siku nyingine walimteka tena dada yake, we unafikiri kwanini wamemrudisha chapNa ni nan alomuua JPM