CCM ni wale wale tena leo hii press binafsi sijaona alichoongea kinachoshtusha zaidi ya kung'ata ng'ata maneno na kuona aibu. Pole pole ni kansa usaliti unamtafuna siwezi kumuamini kama alivyo Zitto Zuberi Kabwe.Hajasema sheria za chama, kasema desturi za chama.
Yeye haamini katika sheria za chama ( KATIBA).
Ndo maana kasema kidesturi kuna watu hawaruhusiwagi na CCM kupanda kuwa Rais, yani Spika, PM, na VP.
Lakini katiba ya CCM inasema mwanachama yeyote anaweza kugombea chochote.
Sheria iliyoandikwa kwenye makaratasi kwa Mwafrika ni kitu kigeni, kigumi, kinamkera sana Mwafrika
Sheria ya kwanza Uingereza ilitungwa mwaka wa 1215. Tunahotaji miaka 800 ka.a wao ili tuelewe sheria ni nini.
Sawa kabisa, ni kweli kabisa haya yaliasisiwa na kina Magufuli.
Je hawa wa sasa, do they get a pass ( yani wanapeteshwa, wanasameheka) kwa saab eti hawakuyaanzisha?
Tena wanayaendeleza kwa moto mkali zaidi. Watu wananyopolewa vitandani mbele ya wake zao hapo hapo sebuleni wanapigwa rungu puuuuu, wanakuburuza nje, kwenye basi la abiroa mchana kweupe mjini sio shambani, watu wanaitwa polisi wafate mali zao, wanapotea jumla.
Hapo unasemaje mimi sijayaanzisha lakini unayaendeleza na moto ule ule au zaidi ???????
Una uhakika na huyo HAKIMU MKAZI MWENYEWE unaetaka mpelekea shtaka?Unajuaje hawatokuwa huko kwa wapinzani?
Kitu cha msingi wataje hapa mkuu ili tuwafungulie mashtaka kwa Hakimu Mkazi Kisutu.
Sasa kwa nini hakuchukua!!??Hata Samia angechukua fomu,bado angeshinda tu
Mangi umekuwa mpole ghafla 😛Haya
Pole Pole anapiga ngumi za kichwa tu.Mangi umekuwa mpole ghafla 😛
Chamkosaji,mbona mtasema sana mwaka huuSUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE@AbroadTanzania
1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.
2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.
3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!
4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya
5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema
6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya
#KataaWahuni
Akili kubwa sasa hv zinademka tu kwa kila ngoma inayopigwa na CCMAkili ndogo sana