Salam ndugu wana JF,
Naomba kuuliza, hivi application za vyuo kwa ngazi ya diploma na cheti tayari zimeanza au tayari muda wake umeshapita? Kwa mwaka 20/21
Ninamdogo wangu nahitaji nimfanyie usajili kwa wenye uzoefu au taarifa zinazo husu naomba msaada.
Asanteni!