Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwanza hakuna mtaa wowote Tanzania wenye misikiti kumiMimi ambacho huwa kinanisikitisha unakuta mtaa una misikiti kumi lakin hauna shule wala hospital
Ukiliuliza hii misikiti mbona mizuri alijenga Nan uatsikia unajibiwa waarabu wana hela Kuna waarabu kutoka Oman waliinjenga
Kwa ivo unataka kusema nchi hizi za kusini na mashariki ni maskini kutokana na ufuasi wa dini ya kikiristo?Nchi nyingi za kiAfrika huku kusini na Mashariki ni za kikristo bado maskini sana,
Hapana, soma tena vizuri, unless umeelewa tofautiKwa ivo unataka kusema nchi hizi za kusini na mashariki ni maskini kutokana na ufuasi wa dini ya kikiristo?
Sawa nimeelewa!Hapana, soma tena vizuri, unless umeelewa tofauti
North Africa ina nchi saba, nchi nne tu ndio zina unafuu, Nchi zenye maendeleo kiasi na unafuu West Africa ni za Wagalatia wengi na Nigeria ambayo iko nusu kwa nusu.Kwanza hakuna mtaa wowote Tanzania wenye misikiti kumi
Hata huko nchi za kiarabu hakuna kitu kama hicho
Uongo hausaidiii
Pili kumjibu mtoa hoja
Hakuna nchi ya Afrika (wala duniani) ambayo maendeleo yake yametokana moja kwa moja na ufuasi wa dini fulani iwe Ukristo, Uislamu au dini za asili.
Lakini dini imekuwa na athari kubwa kwa jamii, hasa kwenye maadili, elimu, na mshikamano wa kijamii
Nchi nyingi za kiAfrika huku kusini na Mashariki ni za kikristo bado maskini sana, nchi nyingi za Kaskazini na Magharibi Afrika zenye waIslam wengi zina maendeleo yaliyotofautiana sana
Lakini hii hoja umeitoa wapi kwenye bandiko langu kuhusu mtizamo wa watanganyika na aina ya dini ya mtu anayekuwa kiongozi wao kuhusiana na maendeleo ?Hivyo kukaa kulazimisha kwamba watawala wa dini fulani wakishika nchi ndiyo mambo hunyooka ni ubazazi na umaamuma ambao ninyi Watanganyika mnapenda kuuendekeza.
Kumjibu mtoa hoja ni kwamba maendeleo hayajatokona na dini bali utawala bora, elimu, miundombinu , technology na sera za kijamiiNorth Africa ina nchi saba, nchi nne tu ndio zina unafuu, Nchi zenye maendeleo kiasi na unafuu West Africa ni za Wagalatia wengi na Nigeria ambayo iko nusu kwa nusu.
Napinga pia hilo suala la dini kuchangia maadili ya kijamii kwa sababu rushwa, ufisadi, dhulma, uongo, cheating na kukosa uwajibikaji vimetawala sana Africa ambapo 99% ya raia hushinda makanisani na misikitini, mwanasiasa na mchambuzi wa mpira au msemaji wa timu lazima aanze kwanza kwa kumshukuru mnyaazi mungu tena kwa zaidi ya dakika tano kabla ya kuongea ujinga, propaganda, kejeli na uongo wake.ukichukulia mfano wa nchi nyingi za Afrika na za Asia (Far East) mf Singapore, Korea Kusini na Kaskazini, Japan zimeendelea sana kwa kuwa dini zao Budhissm au Shinto hazikupewa nafasi ya kuongoza sera za nchi wakati kwa Afrika dini zinaingia kwenye siasa
Nchi za Asia zilisisitiza elimu za saynasi na hesabu wakti Afrika hawakutoka
Kumjibu mtoa hoja ni kwamba maendeleo hayajatokona na dini bali utawala bora, elimu, miundombinu , technology na sera za kijamii
Dini inachangia moja kwa moja tu kwa maadili ya kijamii mf, nidhamu ya kazi, uaminifu na mshikamano wa kijamii (social cohesion) kwa nchi kama za Asia zenye dini tofauti mf Shinto , Japan, Budhism, S Korea, Hindu India, Atheists na wakiristo kwa nchi nyingi za Ulaya na waislam kwa nchi za Bara Arab mf Saudi Arabia, Oman, UAE, Qatar
Kuna umaskini kwa nchi zenye dini hizo kama Nepal, Greece, Eastern Europe na nchi za kiarabu kama Yemen
Tabora hujafika acha nikae kimiyaKwanza hakuna mtaa wowote Tanzania wenye misikiti kumi
Hata huko nchi za kiarabu hakuna kitu kama hicho
Uongo hausaidiii
Pili kumjibu mtoa hoja
Hakuna nchi ya Afrika (wala duniani) ambayo maendeleo yake yametokana moja kwa moja na ufuasi wa dini fulani iwe Ukristo, Uislamu au dini za asili.
Lakini dini imekuwa na athari kubwa kwa jamii, hasa kwenye maadili, elimu, na mshikamano wa kijamii
Nchi nyingi za kiAfrika huku kusini na Mashariki ni za kikristo bado maskini sana, nchi nyingi za Kaskazini na Magharibi Afrika zenye waIslam wengi zina maendeleo yaliyotofautiana sana
China hakuna diniNi nchi gani duniani ambayo maendeleo yake yanahusishwa moja kwa Moja na ufuasi wa dini fulani?
Nchi ambayo tunaweza kusema pasina shaka kuwa, kutokana na wao kufuata dini fulani ndiyo maana walipata maendeleo waliyonayo!
Lakini hii hoja umeitoa wapi kwenye bandiko langu kuhusu mtizamo wa watanganyika na aina ya dini ya mtu anayekuwa kiongozi wao kuhusiana na maendeleo ?
Hitimisho lako limenistusha ingawa hoja zako zingine zote nakubaliana nazo.
Tanzania hii ni mikoa 6 tu sijafika, Kigoma, Kagera, Rukwa, Katavi na kule Pemba Kaskazini na KusiniTabora hujafika acha nikae kimiya
This is my pointNapinga pia hilo suala la dini kuchangia maadili ya kijamii kwa sababu rushwa, ufisadi, dhulma, uongo, cheating na kukosa uwajibikaji vimetawala sana Africa ambapo 99% ya raia hushinda makanisani na misikitini, mwanasiasa na mchambuzi wa mpira au msemaji wa timu lazima aanze kwanza kwa kumshukuru mnyaazi mungu tena kwa zaidi ya dakika tano kabla ya kuongea ujinga, propaganda, kejeli na uongo wake.