Ukristo ulichangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya
ugunduzi wa kisayansi kwa kutoa
utulivu wa kijamii na kiakili, na kupitia kazi za
wanasayansi waliomwamini Mungu kwa dhati.
1) Ukristo ulileta
Utulivu kwasababu ya kuamini kwamba
ukweli ni mmoja badala ya kuwa wa vurugu au machafuko, hivyo wasomi wakatumia muda kuchunguza, kufanya majaribio, na kuunda nadharia.
2)
Waanzilishi wengi wa sayansi ya kisasa kina
Isaac Newton, Johannes Kepler, Galileo Galilei, na Robert Boyle etc waliona kazi zao kama njia ya kuchunguza mpangilio wa kimantiki uliowekwa na
Muumba wa mbinguni.
Waliamini
asili (nature) inaongozwa na
sheria thabiti zilizoweka na
Muumba mwenye akili, wakawa na uhakika kwamba ulimwengu unaweza kuchunguzwa, kupimwa, na kueleweka.
3)
Taasisi thabiti zilizohifadhiwa na utamaduni wa
Kikristo:
monasteries, makanisa, na vyuo vikuu zilitoa
wasomi waliotafuta maarifa kwa msimamo kwamba
imani na akili si maadui, bali ni washirika katika utafutaji wa ukweli.
Kinyume na kupinga sayansi (maendeleo), Ukristo ulisaidia
kuunda mazingira ambayo uchunguzi wa kisayansi wa kisasa uliweza kuibuka na kustawi.
KWA UPANDE MWINGINE,
Historia inaonyesha kwamba jamii
zilizovunja mipaka ya maadili na kuhalalisha uchafu (Libertinism)
hudhoofika kutoka ndani na mwishowe
kushindwa na maadui wa nje!
Mf. Ugiriki ya Kale, Ufaransa ya kabla ya Mapinduzi, Ujerumani kabla ya WW1, Roma ya kale, na sasa tunaona
LIVE anguko la
nchi za Magharibi.
Zile
Crusades za Wakristo za miaka ya 1000 za kukataa influence ya watu fulani ambao hizi nchi za magharibi zimewakumbatia mbona
zitakumbukwa ! !
Angalia hata jamii zilizoendelea ambazo watu wanadai hazina MUNGU mfano
Japan, zilikiwa jamii zenye
viwango vikali sana vya maadili, very similar na MUNGU wetu wa
Agano la Kale, kosa kidogo tu umekatwa kichwa,
zero tolerance for BS. Hizo ndo jamii zimeleta maendeleo, sio
mauzauza unayoona wanaruhusu miaka hii.
"Naam, wakati wa watu wa Mataifa, ambao hawana sheria, wanapofanya kwa asili mambo yatakiwayo na sheria, wao ni sheria kwa nafsi zao wenyewe, hata ingawa hawana sheria.
Wao wanaonesha kwamba lile linalotakiwa na sheria limeandikwa kwenye mioyo yao, ambayo pia dhamiri zao zikiwashuhudia, nayo mawazo yao yenye kupingana yatawashtaki au kuwatetea."
Waroma.2.14-15.NENO
Udhoofu wa nchi za magharibi na zingine zilizoendelea kwenye familia na maadili kumeleta
mgawanyiko kijamii na
misukosuko ya kisiasa, na sasa
maadui wame infiltrate ready to take action: destroy them.
Jamii ambazo
Tamaa binafsi inachukua nafasi muhimu zaidi, vingine vinatolewa sadaka kwa raha za muda mfupi,
Jamii hizo zinaweza
kuonekana zenye nguvu na za kisasa kwa muda, lakini chini ya uso wake zinapoteza
misingi yake iliyozijenga hizo jamii in the first place na inayohitajika ili
kudumu.
Hii ni
ONYO jinsi kwenda kinyume na MUNGU kunavyodhoofisha jamii mzima.
Hata
Oktoba 29 ukifikiria vizuri ni matokeo ya the same thing: no GOD among the people, just to bring destruction to the people.