Muhusika/Wahusika unaotamani kuwaona LIVE/PICHA, kutoka katika story za kweli za member wa JamiiForums

Muhusika/Wahusika unaotamani kuwaona LIVE/PICHA, kutoka katika story za kweli za member wa JamiiForums

Huwa natamani kuwaona
Arovera huyu harakati zake huwa nazikubali ningeonana nae angenipa madini.
Mohamed Said natamani zaidi nimuone kabla sijachelewa, sina deni kwake historia amejitahidi kuandika.
mrangi nikimuona namuuliza mambo magumu tu.
Pohamba huwa nakubali zaidi mapitio yake ya vita ya Kagera.
Mzee Mohamed Said amejaa tele kariakoo.
 
Back
Top Bottom