Eugenia Games Station
Senior Member
- Mar 13, 2016
- 172
- 216
Natamani kumuona mchumba nione hiyo pua ambayo wanamsakama nayo!
Kumbe nina watu wa kuendelea kuwasomaHuwa natamani kuwaona
Arovera huyu harakati zake huwa nazikubali ningeonana nae angenipa madini.
Mohamed Said natamani zaidi nimuone kabla sijachelewa, sina deni kwake historia amejitahidi kuandika.
mrangi nikimuona namuuliza mambo magumu tu.
Pohamba huwa nakubali zaidi mapitio yake ya vita ya Kagera.
πUmughaka na demu wake mchawi.
πEm ngoja nitulie labla ntatajwa
Kama ujasoma simulizi za analyse basi ujafaidi simulizi za jf.Kumbe nina watu wa kuendelea kuwasoma
NIMEFURAHI KUONA UKIREPLY MY THREAD BRONjoo tu uione π
Mzee Mohamed Said amejaa tele kariakoo.Huwa natamani kuwaona
Arovera huyu harakati zake huwa nazikubali ningeonana nae angenipa madini.
Mohamed Said natamani zaidi nimuone kabla sijachelewa, sina deni kwake historia amejitahidi kuandika.
mrangi nikimuona namuuliza mambo magumu tu.
Pohamba huwa nakubali zaidi mapitio yake ya vita ya Kagera.
huyo ni kaka yangu from anaza maza πKama ujasoma simulizi za analyse basi ujafaidi simulizi za jf.
Ufe uende wapi??NIMEFURAHI KUONA UKIREPLY MY THREAD BRO
KABLA SIJAFA LAZIMA NIKUONE π
Muache bwana APPOSTLE πKama ujasoma simulizi za analyse basi ujafaidi simulizi za jf.
ephen_ eeeh nakuita mkuuKama ujasoma simulizi za analyse basi ujafaidi simulizi za jf.
Kwa baba πUfe uende wapi??