jamani K 4 REAL ndio katoka na masong makali ya MWANA na CHEKETUA na leo nilisikia CHANEL .O. wakizungumzia hizi songs na kuna tetesi zitapigwa katika stesheni za nje. so nawataka wasanii wengine wa kupiga maplayback muigeni king mfanikiwe. ni ushauri tu