Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani
Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron Ely ambaye alijizolea umaarufu nkubwa baada ya kuigiza kama ‘Tarzan’ Amefariki dunia.
Tarzan alijulikana zaidi kwenye vipindi vya Televisheni vilivyokuwa vikijulikana kwa jina hilo hilo la Tarzan na amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.
Kipindi cha Tarzan kilianza kurushwa luningani mwaka 1966 hadi 1968, ambapo alipumzika na baadae ikaripotiwa alivunjika mifupa baada ya kushambuliwa na wanyama, na baadaye 2014 alirejea tena kuigiza