TANZIA Muigizaji maarufu Ron Ely maarufu kama Tarzan amefariki duniani

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227

Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani

Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron Ely ambaye alijizolea umaarufu nkubwa baada ya kuigiza kama ‘Tarzan’ Amefariki dunia.

Tarzan alijulikana zaidi kwenye vipindi vya Televisheni vilivyokuwa vikijulikana kwa jina hilo hilo la Tarzan na amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.

Kipindi cha Tarzan kilianza kurushwa luningani mwaka 1966 hadi 1968, ambapo alipumzika na baadae ikaripotiwa alivunjika mifupa baada ya kushambuliwa na wanyama, na baadaye 2014 alirejea tena kuigiza
 
Tarzan ni Ron Ely or John Amos?
 
Hiyo muvi ya Tarzan ilikuwa ni moto wa kuotea mbali miaka ya 1990's. Ilikuwa ni mwendo wa kutambishiana tu kwa wale waliofanikiwa kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…