Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,054
SAM LOCE EFE (1945 - 2011) Actor na Comedian maarufu toka Nollywood nchini Nigeria,Sam Loco Efe,amefariki dunia....
source: chini ya carpet blog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAM LOCE EFE (1945 - 2011) Mzee Sam alikua na miaka 66,alifariki dunia akiwa chumbani kwenye hoteli yake iitwayo Rapour Hotel iliyopo pande za Owerri,kwenye jimbo la Imo muda mfupi baada ya kutoka location na alijipatia umaarufu kuanzia mwaka 1968,alipoanzisha Overamwen National Theatre Group Benin, Edo hometown kwake Edo StateSAM LOCE EFE (1945 - 2011)
Actor na Comedian maarufu toka Nollywood nchini Nigeria,Sam Loco Efe,amefariki dunia....
source: chini ya carpet blog
<br />RIP sam