Muigizaji Monalisa akabidhiwa Bendera kuiwakilisha Tanzania Ghana

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Serikali imemkabidhi Bendera ya Taifa muigizaji wa filamu, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa anayetarajia kwenda nchini Ghana kuwania tuzo ya [HASHTAG]#TheAfricanPrestigiousAwards[/HASHTAG] kipengele cha Msanii bora wa kike Afrika

Monalisa ndiye msanii pekee kutoka Tanzania aliyeteuliwa kuwania tuzo hizo zenye heshima kubwa ambazo zitafanyika hivi karibuni huko ACCRA, Ghana.

Tuzo hizo hutolewa kwa kutambua maendeleo na tija aliyonayo mtu kwenye nyanja za uongozi, biashara, sanaa na kadhalika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…