Muigizaji wa 'Bongo Movies' (Kajala) asubiria hukumu yake akiwa Gerezani Segerea

Muigizaji wa 'Bongo Movies' (Kajala) asubiria hukumu yake akiwa Gerezani Segerea

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
[h=1][/h]​


Aliyewahi kuwa Mrs. Majani, malkia wa Bongo Records na sasa Bongo Movie actress Kajala Masanja, mapema leo amechukuliwa na kufungwa Segerea kufuatia mashitaka ya ufujaji wa pesa za umma zinazomkabili yeye pamoja na mume wake wa sasa hivi.
Kesi hiyo ambayo imekuwa ikisikilizwa kwa muda mrefu sasa inaonekana kufikia hatua za mwisho baada ya hakimu kusemekana kutoa hukumu Jumatatu ya tarehe 19 Machi mwaka huu.
Kajala ambaye ana watoto na P-Funk, hivi sasa yuko Segerea akisubiri hukumu yake kusomwa baada ya siku hizi chache. Washikaji zake wametoa tamko mbalimbali kupitia blogs, BBM na Facebook za kumuombea uzima na uwezo wa kuepuka kifungo.
Hapa Kajala akiwa na Muigizaji maarufu (Ramsey) toka Nigeria kipindi alipokuja Tanzania kwaajili ya kufanya movie na Steve Kanumba.

 
hyo ni laana ya P.FUNK coz KAJALA alimkimbia P.FUNK na kwenda kwa huyo MUME WAKE WA SASA kwa SAbabu ya fedha P.FUNK alihuzunika sana na akasema hata wuwezo wake waku produce nymbo umepungua kutokana na hlo na akasema MUNGU ATAMLIPIA..

KUENI MAKINI MASHIKAJI MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI..
 
hyo ni laana ya P.FUNK coz KAJALA alimkimbia P.FUNK na kwenda kwa huyo MUME WAKE WA SASA kwa SAbabu ya fedha P.FUNK alihuzunika sana na akasema hata wuwezo wake waku produce nymbo umepungua kutokana na hlo na akasema MUNGU ATAMLIPIA..

KUENI MAKINI MASHIKAJI MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI..

Yap yap ndio maana p-funk alitoa wimbo wa kumuomba arudi,sasa nilikua sijui kwamba ni kajala nilijua ni jack,,,radhi ya mume hyo imemkumba,wametakatisha fedha chafu,sijui kama hawajalamba miaka mitatu jela ngoja tusubiri mumewe bado anaozea jela,,,tufanye kazi utapeli ni nomaaaaa,,,bora nirudi kijijin nikaendelee kuuza mkaa..
 
Jamani acheni prejudice. huyo Kajala alishaongelea kwanini alikimbia kwa huyo PF alikua akiteswa na kuletewa mke mwenzie wawe groupies kipindi yupo mjamzito na mengine mengi. follow the link below:
KAJALA akielezea undani wa maisha yake ndani ya TAKE ONE!! - YouTube
Isitoshe after all that wenyewe wanaonekana kupatana na kukutwa sehemu mbali mbali pamoja of as recent days. sasa nyie mko busy kuhukumu eti hili ni kwa sababu ya hiki. mmekua masekretari wa Mungu nyie?????? mscheeeeew
 
mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe
 
Jela kwa ufisadi? mbona akina EL wapo wanatesa tu mtaani?
 
huyo p.funk,ana watoto kila kona,kwa nini mumuone mbaya kajala tu?kazi yake kupiga wanawake tu
 
Wadau mi nasikia juu juu tu naomba mwenye kujua kesi yake ni ipi? Utapeli?
 
Nimesoma kwenye blog moja huyu dada amefungwa miaka saba, blog inaitwa nyumbani kwetu.
 
naomba niulize huyo mume wake wa sasa ni nani?? ambaye wamefuja pesa pamoja na huyo kajala??
 
Bongo dukinaaaa. Tatizo hawa watoto wakiona mkwanja na magari makubwa wanapapatikia bila kujali vimetoka wapi. Kama ameshiriki kwenye huo uhalifu then kifungo ni haki yake hata kama wahalifu wengine wanapeta. Atalikosa sasa duduwasha itabidi akajifunze ukameron wa akina dada huko behind bars
 
Alichofanya yeye ameuza nyumba ambayo ilikuwa imeshikiliwa na serikali kwa ajili ya uchunguzi wa kesi(japokuwa ilikuwa chini ya jina lake)
 
naomba niulize huyo mume wake wa sasa ni nani?? ambaye wamefuja pesa pamoja na huyo kajala??

Hilo la msingi kujuzwa maana anatajwa tu kuwa mume wake wa sasa wakati wa zamani anatajwa kwa jina,huyo wa sasa hana jina?
 
Back
Top Bottom