TANZIA Muigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker afariki dunia kwenye ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 40

nimeona facebook watu wanvyomRIP nikasikitika jinsi tunavyosahau hata wazazi wetu na marafiki wa karibu lakini tunawarusha hawa walami kama vile ndio miungu yetu

TBH, naona tunaiga uzungu tu
 
 
Last edited by a moderator:
Yep kwl tupunguze uzungu watu wameuvalia njuga kana kwamba wanamjua sn tunaboa jmn aaaah
 
Porsche Carrera GT 2005, 5.7L V10

Dereva Roger Rodas.. Dah See you Again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…