elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
To me only God is the Great au mnasemaje wadau?
Vicent kigosi
Ngoja nikwambie maana ya the great ili na wengine wapate kujua kuptia kwako. Ukiona mtu kwenye jina lake kaweka the great ina maana jina analotumia lilikuwa la babu yake yani kapewa jina la babu yake ndo maana yake kwa kingereza si hivyo unavyo waza wewe.
Na tulisikia baba yake akisema kanumba karithi jina la babu yake.
Mfano kuna alexender the great alirithi jina toka kwa babu yake pia.
Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba na serikari ikamtambua kama mtu anayechangia kujulikana kwa nchi yetu hii changa kimaendeleo?
richard wa bba angeweza kakin kama vile hayuko serious bt huyu dogo anaweza kuigiza vizuri
Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba na serikari ikamtambua kama mtu anayechangia kujulikana kwa nchi yetu hii changa kimaendeleo?