Muimbaji "Albino Fulani" Kichwa Kinachokuja Kasi katika Game

Muimbaji "Albino Fulani" Kichwa Kinachokuja Kasi katika Game

Mimi

New Member
Joined
Dec 6, 2006
Posts
2
Reaction score
0
Anajulikana kama Babu a.k.a Albino fulani, mzaliwa wa Bongo aishie nchini Marekani. Jamaa alianza game kitambo tu sema mitikasi ya shule ndiyo ilimfanya awe kimya kwa muda wote, lakini toka USA mpaka Bongo kupitia Dar411 jamaa ameitambulisha kwa mara ya kwanza ngoma yake mpya iitwayo "Barua kwa Mama" ambayo ndani yake amemshirikisha Mkali Fulani....
Listen to his new single "Barua kwa mama" and read more about Albino fulani here: Dar411.com - Dar-es-Salaam News and Information Portal

4544_206745105602_206739360602_7068803_6780020_n.jpg
 
Alikuweko "Yellowman" kutoka Jamaica wakati fulani. Mkali sana wa reggae (rub a dub style).

Amandla......
 
Asante Nyani. Ulimjuaje Yellowman? Au na wewe ni kibabu!
Amandla.....

Ahahahahahahahahaa....well...mimi niko eclectic ikija kwenye mambo ya sanaa na muziki. Na ukibabu kwani ni nini? Kwangu mimi ukibabu ni jinsi unavyo ji-carry mwenyewe. Kama una miaka 30 lakini una act kama una miaka 60 kwangu mimi utakuwa kibabu mnoko..Lol...

Anyways I'm not as young as you may think I am...
 
Back
Top Bottom