Muimbaji Nelson Manzi wa Ambassadors of Christ na mke wake wamepata mtoto wa kike

Braza POPO

Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
39
Reaction score
12
Muimbaji wa muda mrefu wa kwaya ya Ambassadors of Christ, Mr. Nelson Manzi pamoja na mke wake Eunice wamepata mtoto wa kike, taarifa toka kwa ndugu wa karibu wa familia hiyo ametupa habari. Pongezi kwa wawili hawa na Mungu awape hekima kumlea mtoto wenu...
Habari na injilileo
 
Watu maarufu wote wakipata watoto tuanzishe uzi hapa Jf, tena sio uzi tu kawaida bali ni News Alert..
Tuwe serious basi japo kila mtu ana uhuru wa kupost.
 
mhhh jamani kwani walitafuta kwa muda mrefu sana mpk iwe thread??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…