Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajuaKufa na wewe ili ufurahi!
Ila wewe jamaa! Yaani unapenda kufa?Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajua
Unadhani Ronaldo hapendi kufunga goli siku ya fainal world cup?Ila wewe jamaa! Yaani unapenda kufa?
Hahahaha
Kwani Waisrel walimtukana Mtume?Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajua
Mimi nashangaa sana. Kwani mtume ndio Mungu si ni mtu tu kama wewe aliyezaliwa na kufa kama na wewe ulivyozaliwa na utakufa.Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajua
Muislam kufa shahudi sawa na ronado kufunga goli siku ya fainalKwani Waisrel walimtukana Mtume?
Namzunguzia mtumebwa haki sio Mtume wa waliopoteaMimi nashangaa sana. Kwani mtume ndio Mungu si ni mtu tu kama wewe aliyezaliwa na kufa kama na wewe ulivyozaliwa na utakufa.
Ingekuwa busara umkasirikie mtu anayemdhihaki Mungu kuliko mtume kwa sababu mitume wako wengi na ni watu tu kama wengine lakini Mungu ni mmoja tu.
Kwa nini usimuache Allah amtetee mwenyewe?!Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajua
Blah blah blah 🤣🤣Njoo utumkane mtume mbele yangu halafu ndio utajua
Maneno mengi vitendo ziro. Mujahedeen wa kongowe huko ndani ndaniMuislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake
Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema:
“Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169)
Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua waislam ktk Jihad kama wanawakomoa, kumbe ni kuwarahishia njia ya peponi. Wasiokuwa waislam wao wakifa au wakiua kwao ni hasara
mimi kuna kitu uwa sielewi kuhusu waislamu huwa najiuliza kipindi muhamed (SAW) alipokua duniani je alikua anaua watu waliokuwawanampinga au kumuongelea vibaya na je ndio maelekezo yake kuuua wote wanaomsema yeye vibaya ?Unadhani Ronaldo hapendi kufunga goli siku ya fainal world cup?
Muislam kufa shahudi sawa na ronado kufunga goli siku ya fainalkitu ambacho sielewi waislamu naomba unieleweshe wakati mtu,me