Mujee uku mnikate kamba

nocha

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
14
Reaction score
1
Habar zen mgeni miye[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Nenda makapuku forum ujifunzie comment na topic nzito za mshana na lara2
 
Umenikumbusha zoezi la kukata mkia form one lilikuwa likifanyika mwezi wa tisa... Sasa na wewe ngoja nije nikushughulikie vizuri... Ukitoka hapo unakuwa na roho ngumu kama jiwe ya kuweza kuhimili majibu magumu na vijembe vya wana JF...
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aya nd ufany hvy
 
Karibu sana JF mjukuu wetuhapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…