kwakweli akili kichwani umenifanyia timing tu.ukweli hata mimi PEARL ninamfeel sana.tatizo tulifahamiana late sana(wakati project 13/02/2010) iko ukingoni kabisaππ
noname umeanza................ tabidi sasa nikupe na jina.................
kaka mimi nitatoa piingamizi kanisani!i have feelings for this ladyππHadi natangazaa kusitisha maombi ijumaa 12.38 PM, nilikuwa nimeishapata waombaji 19, na wengine wane walituma maombi yao baada ya kufunga kupokea maombi, hivyo Jumla ya Waaombaji=23.
kati yao wanaume waliojifanya wanawake=9 na walienguliwa mara moja, baki 14. Walioshindwa kubainika moja kwa moja jinsia zao=2 nao walienguliwa, baki 12. waliopungukiwa sifa=1 (alitaka ndoa ya full Beijing style) naye alienguliwa mara moja wakabaki baki 11, kati yao waliobainika kudanganya baadhi ya maelezo waliyotoa ni 4 na waliondolewa, wakabaki 8. Hawa ndio walioqualify kuingia katika uchunguzi wa kina. wawili walibainika kutojiamini, na wawili hawakuwa staraightforward ktk baadhi ya maeneo, waliobaki niliwatumia baadaye PM ya kuwaarifu kuwa nimeishasawazisha na mchumba wangu wa awali na kwa hiyo nimesitisha mchakato mzima wa kumsaka mukazi wange. Waliofuatilia vizuri thread ya msingi wanajua sababu.
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote walioonyesha nia ya kuishi na mimi na wote waliochangia mawazo yao mazuri. Pia nichukue fursa hii kuwatangazia rasmi wanaJF wote kuwa Pearl ndiye mchumba wangu na ndoa itafungwa muda wowote kuanzia sasa. Wenye wivu mnashauriwa kujinyonga. Asanteni kwa kunisoma.
Pear kidege changu,
Mti wako nyumba yangu,
Kiota chako chumba changu
Manyoya yako godoro langu
Maringo yako raha yangu
Mbawa zako shuka langu
Shavu zako zomari yangu
Paja zako meko yangu
Moyo wako keki yangu
Nitakupenda na kukujali daimaΒ Hakika yametimiaΒ Β Β Β Β Β PEARL MUKAZI WANGEΒ Β Β Β Β Β Β Β Β .. Glory to God!
mimi mwenyewe umeniacha ROUND-ABOUT MOTELπ±Paukwa ..Pakawa..!
Kaondokea chenjagaa!
Kajenga nyumba kakaa!...
Of course some of you wont understand!
HUYU akili kichwani is not of your type.nitakutafutia kaka yangu akuoe(just because nimekukosa mimiπ)ah ah ah nimecheka sana,na hii mvua natamani nirudi hme nikalale maana napata vichomi tu hapa, nani anajua dawa yake?(off topic)
Naomba kwenye mambo tuliyokubaliana ubadilike tafadhali ntaku PM kukukumbusha.
akili kichwani mimi simuaminihongera... ila Pearl inabidi Akili umpe training kidogo manake namuona bado ana akili ya kijijini...
ni kweli anamdate mtu mwingineBest angalia asijekuwa anamdate mwingine. Lakini hongera mkubwa nawaombea kwa mungu muwe waaminifu mtakapofunga ndoa, epuka kumegana kabla ya ndoa kwani adhabu yake mwaijua.
wat do u mean kijijini?mm sihitaji wa mjini mm mwenyewe wa mbinde tu dia,ol I nid is tue love,tha has no boundaries,najua kama binadam tunamapundufu mengi lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
mhhhhh! ni wewe? haya bana.No komenti,ni mapema mno.kwakweli akili kichwani umenifanyia timing tu.ukweli hata mimi PEARL ninamfeel sana.tatizo tulifahamiana late sana(wakati project 13/02/2010) iko ukingoni kabisaππ
itabidi mkuu!umelamba dumeπunaonaje mzee ukiwahi kwenye kitanzi??????????///................
wat do u mean kijijini?mm sihitaji wa mjini mm mwenyewe wa mbinde tu dia,ol I nid is tue love,tha has no boundaries,najua kama binadam tunamapundufu mengi lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
haswa twinushka.
kwani hata akikuvika taji la almasi na hana upendo wa dhati ina maana gani kwako???
wat matters here is true love kwishnei, hamna cha wa kijijini wala mjin!!!
mmh pearl naomba uthibitishe umekubali kweli ama unatania?thibitisha kabisa maana nshaandaa kitanzi hapa.eeeh Twinuska,ukula tembele,dona,but as long as ther is true love u see as if hakuna Dunia nyingine ,yani the world is just for the two of u,wengine wote mnawaona sisimizi tu!
bht nawewe kweli unakubali pearl aende kwa huyu jamaa?usimponze pacha wakohaswa twinushka.
kwani hata akikuvika taji la almasi na hana upendo wa dhati ina maana gani kwako???
wat matters here is true love kwishnei, hamna cha wa kijijini wala mjin!!!
sasa na wewe sijui ulichelewa wapi bwana......bht nawewe kweli unakubali pearl aende kwa huyu jamaa?usimponze pacha wako
ah ah ah G ww!umerudi lkn?hata mm nakufeel kama shkaji ww unafeel nn?
hahaha sawa nimeacha bana... ok Good luck man... have fun
mama mia kimeo nimestuka,pearl sound more perfect,lakini ndio hivyo tena kashaangukia kwa AK 47.sasa na wewe sijui ulichelewa wapi bwana......
basi tena mi sina pingamizi hapa
vipi mama mia???? au bado domo lako zito??
[B said:Geoff[/B];819990]kaka mimi nitatoa piingamizi kanisani!i have feelings for this ladyππ
toooooo late bro..........................
dear ngoja nikapime miwani mingine, nimeshinwa kusoma vizuri hapo................ Yaani unamfeel geof?????????????// aiiii..............wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........
Mie nilishampa ushauri wa bure akaconsult kitanzi................
mama mia kimeo nimestuka,pearl sound more perfect,lakini ndio hivyo tena kashaangukia kwa AK 47.
Si nimesema kama shkaji jamani?