Muko wapi Sultan Jemshid na Sheikh Shamte

Muko wapi Sultan Jemshid na Sheikh Shamte

AL-bajouny

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
37
Reaction score
8
Moyo unaniuma niwakumbukapo babuzetu tunaumia tunasikitika wasaka tonge wanatudhalilisha wametuuza Tanganyika Leo inatukanwa dini yetu asili yeti ivi kuwa waarabu imekua kosa mbona wao wamakonde wahiyao na wanyachusa kwakweli wanatukandamiza twawakumbuka babu zetu awape rehma sheikh shamte rabi akulaze malizimema peponi
 
Vipenzi vyetu sayyid jemshid na sheikh Muhammed Shamte wakati wakila viapo kuitumikia Zanzibar jamuhuri ya watu Wa Zanzibar iliokua huru
 

Attachments

  • 1397902302135.jpg
    1397902302135.jpg
    40.8 KB · Views: 201
Mwandishi naye kilaza. Hajui hata anaandika nini.
 
Back
Top Bottom