Moyo unaniuma niwakumbukapo babuzetu tunaumia tunasikitika wasaka tonge wanatudhalilisha wametuuza Tanganyika Leo inatukanwa dini yetu asili yeti ivi kuwa waarabu imekua kosa mbona wao wamakonde wahiyao na wanyachusa kwakweli wanatukandamiza twawakumbuka babu zetu awape rehma sheikh shamte rabi akulaze malizimema peponi