Muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu

Hivi ndivyo wenye akili ndogo hufikiria. Sisi tumekuwa taifa la kijivunia kuimarika kwa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari kwa miaka miwili. Kwa ufupi hakuna kiongozi hapa ni bomu Tena la kienyeji.
 
Kwani kabla ya hapo Rais wa chama gani cha upinzani alikuwa hajatimiza hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ulikuwa nje ya nchi nini, Demokrasia ipi ambayo Samia kaimarisha,ulimsikiliza Mbowe wakati anachangia juu ya miswada ya sheria za Uchaguzi ulioandaliwa na Tanganyika Law Society?
Maridhiano Mama Samia kachemka,pia kashindwa kuendeleza mchakato wa katiba mpya na Ufisadi na Rushwa vimetamalaki achilia mbali mfumuko wa Bei za vyakula na bidhaa zingine!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Reconciliation (Maridhiano)



Rais Dkt. Samia anasisitiza kuwa misimamo ya kisiasa haipaswi kuwa ngumu ya kutokuwa na mabadiliko na kwamba ni muhimu kujenga jamii inayojadiliana na kutatua changamoto kwa Amani.
Mbona kashindwa kuleta muafaka na CHADEMA!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…