MUKURU HORROR! Mwanamume Adaiwa Kumbaka na Kumuua Mamake Mwenyewe

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Residents wa Mukuru kwa Njenga wako kwa shock baada ya mwanamume mmoja anayejulikana kama “Sugu” kudaiwa kumbaka na kumuua mamake mzazi ndani ya nyumba yao ya kupanga. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mapema wiki hii na limeacha jamii ikiwa na maswali mengi kuliko majibu.
According to reports, mwili wa mama huyo mwenye umri wa zaidi ya miaka 50 ulipatikana ukiwa kwa damu nyingi ndani ya nyumba yao. Neighbours walidai suspect alikuwa akiishi na mamake na alionekana suspicious siku chache kabla ya tukio. Wengine pia walidai alikuwa na pesa ambazo hazikueleweka source yake.
Police wameanza investigations huku mwili ukihamishwa hadi City Mortuary for postmortem. Residents wa Mukuru wanasema tukio hilo limewaogopesha sana, wakisema ni ngumu kuelewa vile mtoto anaweza kufanyia mzazi wake ukatili wa kiwango hicho.
Jamii pia imeanza kuzungumzia issues za mental health, drug abuse, family violence na moral decay among young people. Wengi online wameonyesha uchungu wao wakitaka haki ipatikane haraka.
Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa suspect bado hajapatikana guilty officially until proven in court.
“Hii dunia imefika mwisho kweli? Mtoto kufanya mama yake hivi?” mmoja wa residents alisema .
 
Huyu atakua ni kafir MK254 upwiri umemkaba na bwana wake hakuwepo kumsugua donat akaamua arud kiumeni kwa kubaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…