Mukwala afanye nini ili awepo kwenye foleni kama hii?

Mukwala afanye nini ili awepo kwenye foleni kama hii?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Nasikia Mabululu anapasha misuli huko tayari kupima kama nguvu mbili kweli wapo tayari kufikia level hii 😀 ameambiwa Mukwala ndiye streka tegemezi amelia sana!
GVl8aDbXUAAdFOT.jpeg
 
Wenye team Yao hata wazo la kufika hapo hawana kwa Sasa wanawaza kama watawatoa hao waarabu ambao nasikia wazenji wamewapa dawa na mbinu tayari
 
Kuokoteza wachezaji rejected (free agent) hakutaisaidia timu ya Mudi mapilau
 
Yule Steven Mukwala hakuna mchezaji pale. Inawezekana simba walishawishiwa na zile nywele kichwani. Ila siyo kiwango uwanjani.
 
Back
Top Bottom