Mukwala afanye nini ili awepo kwenye foleni kama hii?

Wenye team Yao hata wazo la kufika hapo hawana kwa Sasa wanawaza kama watawatoa hao waarabu ambao nasikia wazenji wamewapa dawa na mbinu tayari
 
Kuokoteza wachezaji rejected (free agent) hakutaisaidia timu ya Mudi mapilau
 
Yule Steven Mukwala hakuna mchezaji pale. Inawezekana simba walishawishiwa na zile nywele kichwani. Ila siyo kiwango uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…