JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Habari vipenzi.
Ninajiandaa kusuruhisha mahusiano ya mdogo wangu aliechumbia mnyarwanda, familia hii imeishia Tanzania tangu 1980.
Hivyo mdogo wangu baada ya kupata mchumba kwenye familia ile na alifurahi kweli.
Mwezi wa kumi na mbili tulienda kujitamburisha rasimi. Na tukiwa na furaha tumepata kifaa kimeenda hewani afu kizuri.
Kama ujuavyo vijana wa siku hizi, hawaoi bila kuonja. Kijana alielewana na mchumbae wakajiiba wakaenda hadi Arusha mbugani huko, ambako walipanga wakae siku Tano.
Sasa buana, baada ya kufika kule Kijana akajikunja akalipa siku Tano.
Picha likaanza, siku ya kwanza wakalala mzungu wa Nne, ya pili pia bila kugusana, ya tatu hivyo hivyo . Akajaribu kuforce akaishia kupigwa kwenzi.
Baada ya hayo akasitisha ikabidi warudi kabla ya mda. Alipofika alanambia hataki kabisa kuendelea na yule mke.
Baada ya kumuuliza zaidi amenambia. Amekaa na huyo mchumba kwa zaidi ya miaka 6 Sasa na hajaonja kitu, ila siku Moja alimtoa out akamforce wakavutana hadi akaingiza kichwa tu Kisha wazungu wakamwagika maana alikuwa na feelings balaa.
Pia Kuna tabia ya kugombana gombana mara kwa mara. Kununiana na siku zote yeye ndio huwa ansjishusha. Akikaa kimya baada ya mda anatafutwa.
Muliooa Hawa wa tusti. Nambieni nifanyeje?
Maana Kijana hataki kuoa hadi binti ajirekebishe ila pia nimeongea na binti yuko tayari kuolewa.
Naamini hapa JF nitapata ushauri mzuri.
Samahi nimeandika huku nasimzia ila natakiwa kesho nikawakarishe kikao.