Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili.
Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari walioko kazini atashitakiwa kama raia (Mahakama za kiraia) au ataadhibiwa kama askari? Kumbuka kwa sasa hatumikii pensheni tena maana ilikoma alopostaafu. Nawaza!