Kiongozi nchi ya Tanganyika kila kitu kinawezekana Jaji mkuu muda wake ulishakwisha lakini Samia ameona aendelee kula nchi, kifupi ni kwamba huyo jaji yupo tu kama kopo, lakini kwa Bongo bado anaonekana mfanyakazi, yaani katiba hii haina maana hatariiiiiiiiii halafu utasikia anakaa jukwaani vijanaaaaa hamna maadili, wanataka maadili yapi wakati Mzee mzima unakosoa adabu.