INAUZWA Multifunctional home gym equipment

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Mashine ya kisasa (Home made) ya kufanyia mazoezi ya viungo inauzwa.
Kupitia mashine hii unaweza kufanya mazoezi ya aina tofauti tofauti.
Mazoezi ambayo unaweza kufanya kwa kutumia mashine hii ni mazoezi yafuatayo:
1) Mazoezi ya kujenga mikono (bicepts na triceps)
2) Mazoezi ya kujenga kifua
3) Mazoezi ya kujenga miguu
4) Mazoezi ya kutengeneza tumbo
5) Mazoezi ya kutengeneza mgongo
Kupitia mashine hii moja unaweza kufanya mazoezi yote yaliyotajwa hapo juu, mashine hii haichukui nafasi kubwa, pia ni imara sana.

Mashine hii ina uwezo wa kusapoti hadi kilogramu 100.
Mashine hii inapatikana kwa gharama ya shilingi 450000/= za Kitanzania.
Piga simu utaletewa mashine hii mahali popote ulipo (hii ni kwa mkoa wa Dar es Salaam tu)

Kwa Mawasiliano piga:
0692288398
0716418668
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Jinsi ya kuitumia mashine kufanya zoezi la kutanua mgongo.
Your browser is not able to display this video.
 
Jinsi ya kuitumia mashine kufanya zoezi la kujenga miguu.
Your browser is not able to display this video.
 
Jinsi ya kuitumia mashine kufanya zoezi la kujenga kifua.
Your browser is not able to display this video.
 
Tetenasi haikuachi na mashine hii
 
Nimeipenda Ila bei imechangamka sana
 
Jinsi ya kuitumia mashine kufanya zoezi la kujenga mikono.
Your browser is not able to display this video.
 
Nzuri sana ila milioni moja parefu sana mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…