Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Waombe second roundHalafu wengine wamekosa
Tcu mfumo mzito , hawa wanasaidia tu pdf ni ile ile mkuuJe hii source ni genuine?
Japokuwa wanadai ni TCU list, bado hiyo link haikupeleki TCU bali ajirakaziTCU List of Multiple Selected Applicants for 2024/2025 - Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja - AJIRAKAZI.CO.TZ
The Tanzania Commission for Universities (TCU) has announced the list of applicants selected to join more than one university for the 2024/2025 academic year.ajirakazi.co.tz
Kumbe unashaurije mkuu .Hapa TCU wanaKosea,watu Wana matipo selection wakati wengine wamekoswa,hii ni kuleta usumbufu tu